JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA MKUU WA MKOA KAGERA
     
 
     
 
 
     
BARABARA NA MAJENGO
 
[ Barabara ] Majengo [ Nyumbani ] au
 
 
 
 
 

 

 
 
 

SEKTA YA NYUMBA NA UJENZI

Mkoa kwa kushirikiana na mashirika ya Taifa ya NSSF na NHC unahamasisha wananchi kujenga nyumba bora na nafuu ili kuwaweza wananchi kuishi katika mazingira na makazi bora. Hata hivyo sekta hii inakabiliwa na changamoto nyingi.

CHANGAMOTO

•  Gharama kubwa za vifaa vya ujenzi wa viwandani (cement, bati n.k)

 

MKAKATI

•  Kuomba Serikali kufufua mgodi wa madini ya bati (Tin) , Kyera-Karagwe

•  Kuomba Serikali kujenga viwanda vya vifaa vya ujenzi katika mikoa ya Kanda ya Ziwa.

 

 
 
 

 

 
 
 
 
 
[ Barabara ] Majengo [ Nyumbani ] au
 
     
Copyright © 2007 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera, BUKOBA, TEL: 028 - 2220215/17, FAX: 028-2752184