Unaenezwa na bakteria aitwaye Xanthomonas campestris pv musaerum. Bakteria hao wana rangi ya njano ambayo hujitokeza kwenye utomvu mara shina la mgomba ulioathirika linapokatwa. Dalili za ugonjwa huo huonekana kwenye majani , ua dume, shina na mkungu |