JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA MKUU WA MKOA KAGERA
     
 
     
BKB VIJ
 
 
     
HALMASHAURI YA WILAYA YA BUKOBA VIJIJINI
 
Halmashauri < [ Nyumbani ] au
 
 
 
MAENDELEO YA WANAWAKE
 

Katika kutekeleza azma ya Serikali ya kupiga vita umasikini miongoni mwa jamii ya Watanzania, Vijana na Wanawake wamepewa kipaumbele kwa kuendeleza miradi yao ama katika makundi yao au mmoja mmoja. Halmashauri imetoa mikopo kwa vikundi vya Wanawake.

Jumla ya Tshs. 33,482,481.50 zimetolewa kwa vikundi 33 vya wanawake na vijana. Mikopo hiyo inatoa taathira nzuri kwa vikundi hivyo kwani urejeshaji wake unaridhisha. Jumla ya Tshs. 21,482,481.50 zimerejeshwa na wahusika kiasi kilicho bado kurejeshwa muda wake wa kurejeshwa haujafika.

 
 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 

 

 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
     
     
 
 
 
     
Copyright © 2008 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera, BUKOBA, TEL: 028 - 2220215/17, FAX: 027-2752184