JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA MKUU WA MKOA KAGERA
     
 
     
BKB DC
BIHARAMULO
 
     
HALMASHAURI YA WILAYA YA BUKOBA VIJIJINI
 
Halmashauri < [ Nyumbani ] au
 
 
 

MAJI

 

Idadi ya watu wanaopata maji safi na salama ni 136,190 au 56.4% ya wakazi wote. Tatizo la maji ni kubwa katika eneo la Vijijini na hasa Tarafa Rubale. Jitihada zinaendelea kufanyika ili wakazi wa maeneo hayo washirikishwe katika ujenzi wa visima virefu na mabwawa,kwa ushirikiano na wadau mbali mbali wa maendeleo hususani WV(T) Kupitia ADP'S, Kagera sugar Co. Ltd, UN habitat na Programme ya maji na usafi wa Mazingira Vijijini. Miradi 32 ya maji imejengwa Vijijini miradi hiyo ni:-

•  Visima vifupi vilivyokarabatiwa ni - 17

Mabwawa yaliyochimbwa ni - 2

•  Kisima kiirefu - 1

•  Vyanzo vya maji vya Asili vimejengwa- 12

•  Mradi wa Maji (Gravity Scheme 1) - 1 umekarabatiwa - 3

Miradi hii ina thamani ya jumla ya Tshs.143,500,000/=

 

 

 
 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 

 

 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
     
     
 
 
 
     
Copyright © 2014 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera, BUKOBA, TEL: 028 - 2220215/17, FAX: 027-2752184