Kulingana na sensa ya watu na makazi ya mwaka 2002, kuna watu wapatao 81,221. Kati ya hao, 40,822 (50.3%) ni wanaume na 40,399 (49.7%) ni wanawake. Msongamano wa watu ni 1,400 kwa kila kilometa moja ya mraba ya nchi kavu (yaani kilometa za mraba 58) ukilinganisha na takwimu za mkoa ambazo ni watu 47 kwa kila kilometa moja ya mraba. Ongezeko la watu kwa mwaka ni 4 %. |