JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA MKUU WA MKOA WA KAGERA
     
 
     
MULEBA
 
 
     
HALMASHAURI YA WILAYA YA MULEBA
 
Halmashauri < [ Nyumbani ] au
 
 
 
AFYA
 

Idara ya afya hutoa huduma za kinga na tiba katika kipindi chote cha mwaka kwa kutekeleza shughuli mbalimbali jinsi zilivyopangwa katika mpango wake wa mwaka.

Huduma hizi hutolewa kupitia jumla ya Vituo vya huduma 34 ambavyo ni pamoja na:-

•  Hospitali 3 za Rubya (Hospitali Teule ya Wilaya), Ndolage na Kagondo, zote za Mashirika ya Kidini.

•  Vituo vya Afya vya Kaigara na Kimeya.

•  Zahanati 29 ambazo ni:

i) 19 za Serikali

ii) 6 za mashirika ya dini

iii) 2 za Taasisi za serikali

iv) 2 za Binafsi

 

 
 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 

 

 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
     
     
 
 
 
     
Copyright © 2008 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera, BUKOBA, TEL: 028 - 2220215/17, FAX: 028-2752184