Idara ya fedha ni mojawapo ya idara za huduma katika Halmashauri ya Wilaya. Idara hii hutoa huduma na ushauri wa kifedha kwa idara zote zilizo chini ya Halmashauri na pia hutoa huduma kwa wananchi na serikali za Vijiji vilivyomo ndani ya Wilaya hii.
Idara ya Fedha ina vitengo 5 ambavyo ni:-
Final Accounts,
Revenue Expenditure,
Projects,
Stores na
Salaries.
Idara hii katika kutenda kazi zake hutegemea sana sheria ya fedha za Serikali za Mitaa (1982). Local Authority Financial Memorandam, sheria ndogo ndogo za Halmashauri pamoja na miongozo na nyaraka mbali mbali zitolewazo na mamlaka za juu.
|