JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA MKUU WA MKOA KAGERA
     
 
     
MULEBA
 
 
     
HALMASHAURI YA WILAYA YA MULEBA
 
Halmashauri < [ Nyumbani ] au
 
 
 
MIFUGO
 

•  Aina za ufugaji

Aina mbalimbali za ufugaji zinaweza kutofautishwa katika wilaya ya Muleba. Aina kuu mbili ni ufugaji wa ng'ombe wa kienyeji ambao ndio ulioenea zaidi na wa pili ni ufugaji wa ng'ombe wa maziwa.

•  Ufugaji wa ng'ombe wa kienyeji

•  Ufugaji wa kawaida

Ufugaji huu hasa hasa ni kwa ajili ya kuzalisha mbolea ya kuweka kwenye migomba na mibuni. Suala la maziwa, nyama na ngozi si vya msingi, machungo yanakuwa ya zamu katika mbuga za wazi.

Ng'ombe wafugwao ni aina ya Zebu ambao huwa wana pembe fupi na kwa kiasi fulani Ankole. Usiku ng'ombe hufungiwa kwenye banda lililoezekwa lililo katikati ya shamba (kibanja)

Katika maeneo yenye watu wengi malisho huwa ni tatizo wakati wa kiangazi, ardhi kwa ajili ya kulima na kufuga huwa ni adimu. Maji ya kunyweshea mifugo si tatizo la msingi. Wanaume na vijana wa kiume ndio huwa wachunga ng'ombe. Ufugaji wa aina hii upo tarafa ya Kamachumu, Izigo na Muleba na kwa kiwango kidogo tarafa ya Kimwani na Nshamba.

•  Ufugaji wa kuhamahama

Uzalishaji wa mazao ya mifugo ndio shughuli kuu ya ki-uchumi. Wafugaji hawa huwa wanafuga idadi kubwa ya ng'ombe.

Ng'ombe wafugwao ni Ankole ambao kwa kawaida wana pembe ndefu.

Wafugaji hawa huwa hawana makazi ya kudumu kwani mara nyingi wanahamahama kutafuta malisho na maji hasa wakati wa kiangazi. Mifugo hutumika kama ishara ya utajiri na machungo hufanywa na familia nzima.

•  Katika mfumo huu wa ufugaji, uzalishaji wa mazao ya mifugo unapewa kipaumbele zaidi kuliko mfumo wa kwanza unaojali uzalishaji wa mbolea kwa ajili ya kilimo tu na si vinginevyo.

•  Mfumo huo unathamini mifugo kama akiba ya benki na hutumika kama dhamana. Ufugaji huu unapatikana katika maeneo machache ya Tarafa ya Muleba, Nshamba na Kimwani.

•  Idadi ya mifugo kwa kaya ni mingi ikilinganishwa na mfumo wa kwanza. Huandaa vibanda vya muda kwa ajili ya mifugo na huhamahama kutafuta malisho na maji wakati wa kiangazi.

•  Ufugaji wa n'gombe wa maziwa

Takribani kaya 2000 zinafuga ng'ombe wa maziwa wapatao 3,000 katika wilaya ya Muleba. Ng'ombe hawa hufugwa karibu na makazi (Zero grazing system) na zao kuu huwa ni maziwa, na mbolea hutumiwa mashambani.

Maziwa huuzwa hivyo kuwaongezea wakulima kipato. Kulingana na gharama za matunzo ng'ombe hawa hufugwa mara nyingi na wakulima wenye uwezo.

•  Mazao ya Mifugo

Januari 2008 ilifanyika sensa ya mifugo ilionyesha kuwa kaya 6934 zinafuga ng'ombe katika wilaya ya Muleba. Pia jumla ya kaya 23,514 zinafuga mifugo ya aina mbalimbali ambazo ni sawa na asilimia 42 ya kaya zote wilayani.Wilaya inajumla ya ng'ombe wa asili 82911, Ng'ombe wa maziwa 4464, Mbuzi wa maziwa 5449, Mbuzi asili 94954.

 

 
 
 
 
Rice
 

Production of rice in Kapunga State Farm in 1990/91 was 2 percent of the overall rice production in Mbeya region. The percentage share increased to 9 percent in 1994/95 season. While rice production in Mbarali in 1990/91 was 10 percent of the total production in the region. Unlike the Kapunga percentage share which increased in 1994, Mbarali percentage share in rice production fell to only 7.

 
 
 
Cash crops
 

Mbeya region is one of the most important cash crops producer in Tanzania. The region produces over 12,000 tons of coffee, representing about 21 percent of total National coffee production. It produces also 1,800 tons of pyrethrum, equivalent to 48 percent of the National production. Similarly Mbeya region produces 35 percent of tea produced in the whole country. Tobacco and cotton are also produced to the tun of 1,000 tons and 6,000 tons respectively yearly. Table XXIII below shows production trend in major cash crops in the region.

 
Coffee
 

Coffee is one of the major cash crops grown in Mbeya region especially in Mbeya, Mbozi, Rungwe and Ileje districts. About 4,000 Ha. have been under coffee for the past five years. Average production of 0.4 tons of coffee per Ha. has been the trend compared with maximum yield of 1.0 ton/Ha. while the average annual production has been about 12,000 tons. Productivity per Has. still needs to be improved.

 

Production levels for coffee have been rising and falling over the years. For instance in 1990/91 season it was 16,996 tons, in 1991/92 it was only 14,694 tons, while in 1993/94 it rose to 17,954 tons, but fell again to 17,709 tons in 1994/95.

 
 
 
Tobacco
 

Another cash crop mainly grown in Chunya is tobacco and covers an area of about 1,500 Ha. Tobacco annual produuction is 1,000 tons with an average yield of 0.6 ton/Ha. Production levels have been marginally increasing as shown in Table XXIII between 1990/91 and 1994/95.

 
 
 
 
 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
     
     
 
 
 
     
Copyright © 2008 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera, BUKOBA, TEL: 028 - 2220215/17, FAX: 028-2752184