JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA MKUU WA MKOA WA KAGERA
     
 
     
MULEBA
 
 
     
HALMASHAURI YA WILAYA YA MULEBA
 
Halmashauri < [ Nyumbani ] au
 
 
 
USHIRIKA
 

 

Kwa kuzingatia kuwa ushirika ni chombo muhimu katika ujenzi wa uchumi endelevu na kuondoa umaskini, wananchi wanajianzishia vikundi vya ushirika vya uzalishaji mali vilivyo huru. Wilaya imekuwa ikijihusisha na uhamasishaji wa uzalishaji, uendelezaji na uimarishaji wa vikundi mbalimbali vya ushirika.

Idadi ya vyama vya ushirika hapa wilayani ni 136 na vimegawanyika kama ifuatavyo:

i) Vyama vya Ushirika vya mazao ..............50

ii) Vyama vya Kuweka na Kukopa ..............51

iii) Vyama vya Uvuvi ..................................5

iv) Vyama vya Mifugo ................................5

v) Vyama vya Kilimo .................................7

vi) Vyama vya Kibenki .............................16

vii) Chama cha Ushirika cha Mazingira......... 1

viii) Chama cha ushirika cha usafirishaji...... 1

Jumla...................................................136

 

 

 
 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 

 

 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
     
     
 
 
 
     
Copyright © 2008 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera, BUKOBA, TEL: 028 - 2220215/17, FAX: 028-2752184