JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA MKUU WA MKOA WA KAGERA
     
 
     
MULEBA
BIHARAMULO
 
 
     
HALMASHAURI YA WILAYA YA MULEBA
 
Halmashauri < [ Nyumbani ] au
 
 
 
MAJI
 

Idara ya maji ni mojawapo ya idara za Halmashauri ambayo jukumu lake kubwa ni kuhakikisha kuwa wananchi wa wilaya ya Muleba wanapata maji safi na salama kupitia vyanzo mbali mbali vya maji katika umbali usiozidi mita 400 kutoka katika makazi yao .

Vyanzo vya maji

1.

Visima virefu

3

2

Visima vya kati

10

3

Maji bubujiko

10

4

Visima vifupi na pump za mikono

90

5

Maji msukumo (pumping schemes)

12

6

Vyanzo vya maji ya asili vilivyoboreshwa

192

7

Matanki ya maji ya mvua

264

8

Magati ya kuchotea maji (DPs)

272

Vyanzo hivi vyote vinakadiriwa kuhudumia watu wapatao 257489 kati ya watu 445,484 wilayani Muleba ambao ni sawa na asilimia 57.8

 

 

 
 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 

 

 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
     
     
 
 
 
     
Copyright © 2008 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera, BUKOBA, TEL: 028 - 2220215/17, FAX: 028-2752184