JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA MKUU WA MKOA WA KAGERA
     
 
     
MULEBA
 
 
     
HALMASHAURI YA WILAYA YA MULEBA
 
Halmashauri < [ Nyumbani ] au
 
[ UTAWALA ] [ UTUMISHI ]    
         

 

MAENDELEO YA UTUMISHI

Halmashauri ya Wilaya ya Muleba inahitaji watumishi 2407, kwa sasa ina watumishi 2144, ikiwa na upungufu wa watumishi 262 katika kipindi cha 2008/2009, kama inavyooneshwa kwenye kasma zao:-

 

IDARA

KASMA

WALIOPO

MAHITAJI

UPUNGUFU

Utawala na Utumishi

5000

205

250

45

Utawala pamoja na watumishi wa idara nyingine wenye mishahara TGS B+

5004

96

110

14

Elimu (Utawala)

5006

16

17

1

Elimu (Walimu)

5007

1606

1712

106

Elimu (EWW)

5008

23

24

1

Afya(Kinga/tiba/usafishaji)

5011/2/3

144

163

19

Ujenzi, Majengo na Mitambo

5014-16

20

26

6

Maji

5017

24

26

2

Wanyamapori na Uvuvi (Maliasili)

5022/3

10

10

0

Walimu tarajali

5029

0

68

68

JUMLA

 

2144

2406

262

 

 
 
 

ASASI MBALIMBALIi

Pamoja na shughuli zinazotolewa na Halmashauri, Wilaya inafanya kazi kwa karibu na Asasi zisizo za kiserikali katika kutoa ushauri wa kitaalam hasa upande wa miradi ya maendeleo.

 

 

 
 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 
 

 

 

 

P

 
 
 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 
 

 

 
 
 
         
         
     
Copyright © 2008 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera, BUKOBA, TEL: 028 - 2220215/17, FAX: 027-2752184