JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA MKUU WA MKOA KAGERA
     
 
     
MISENYI
 
 
     
HALMASHAURI YA WILAYA YA MISSENYI
 
Halmashauri < [ Nyumbani ] au
 
 
 
KILIMO
 

Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi inalo eneo linalofaa kwa kilimo lenye ukubwa wa Ha. 99,726. Eneo hili linafaa kwa kilimo cha mazao mbalimbali ya chakula na biashara. Kwa utamaduni, wilaya hii inalima migomba (ndizi), mahindi maharage na mihogo kama mazao ya chakula na kahawa na miwa kama mazao ya biashara. Mazao mapya ambayo yameanza kulimwa ni mpunga,na alizeti. Eneo linalofaa kwa kilimo cha umwagiliagi ni ha 26000 ambapo kiasi cha hekta 20000 ni za Kagera Sugar kwa ajili ya kilimo cha Miwa. Wilaya inaongeza juhudi za kilimo cha umwagiliaji kwa kuunda vikundi vya watumiaji maji na wakulima wadogo wa miwa (out growers). Kuna magonjwa ya mnyauko (Banana Wilt na Fussarium wilt) ambayo yanaonekana kutishia kilimo cha migomba na kahawa katika wilaya yetu. Hatua zinachukuliwa kupambana na mgonjwa haya kwa ushirikiano na vituo vya utafiti.

 

 
 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 

 

 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
     
     
 
 
 
     
Copyright © 2008 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera, BUKOBA, TEL: 028 - 2220215/17, FAX: 027-2752184