JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA MKUU WA MKOA KAGERA
     
 
     
MISENYI
 
 
     
HALMASHAURI YA WILAYA YA MISSENYI
 
Halmashauri < [ Nyumbani ] au
 
 
 
 

  USHIRIKA NA MASOKO

Kuna Vyama vya msingi vya Ushirika wa mazao 28 idadi ya wanachama katika ushirika huu ni 6428 vyenye mtaji unaofikia 14, 577,000/=. Vyama vya akiba na mikopo (SACCOS) 33. Idadi ya wanachama katika vyama vya ushirika vya akiba na mikopo ni 3,306 vyenye mtaji unaofikia Tsh. 282,682,000/=

SEKTA YA UVUVI

Wilaya yetu imepakana na Ziwa Victoria kwa upande wa Mashariki. Wananchi wetu wanatumia fursa hiyo kwa kuendesha shughuli za uvuvi. Uvuvi huo unatoa mchango mkubwa kwa lishe ya watu wetu, ajira na pato la fedha za kigeni kwa Taifa letu. Tunalo tatizo kubwa la uvuvi haramu ambalo tunaendelea kupambana nalo.

 

 

 
 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 

 

 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
     
     
 
     
Copyright © 2008 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera, BUKOBA, TEL: 028 - 2220215/17, FAX: 027-2752184