POSTA
Kampuni ya Posta inaendelea kutoa huduma za usafirishaji wa barua na vifurushi.
Huduma za kifedha/benki
Kuna benki 1 ya “National Micro Finance Bank” (NMB) ambayo inatoa huduma ya kibenki hapa Wilayani. Huduma zinazotolewa ni pamoja na amana kwa wateja, mikopo kwa wajasiriamali na wafanya biashara wengine.
|