JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA MKUU WA MKOA KAGERA
     
 
     
MISENYI
 
 
     

  HIFADHI YA MAZINGIRA

 
Halmashauri < [ Nyumbani ] au
 
 
 
 

Halmashauri ya wilaya ya Missenyi ina maeneo yenye misitu ya asili ya Ha. 32,907 nayo ni Miziro Ha. 25,000, Munene Ha. 5,900, Kiikuru Ha. 600, Kantare Ha. 67, Ruchezi Ha. 647 Bushenya Ha. 210, Rwaasina Ha. 466 na Kikongoro Ha. 17, yapo maeneo chepechepe (matinga tinga) ambayo hayafai kwa kilimo ipo misitu ya watu binafsi iliyopandwa kiasi cha Ha. 21,000. ilikuwa na mazingira safi halmashauri ya wilaya ya missenyi inashirikiana na wadau mbalimbali kwa kufanya shughuli za doria za kudhibiti Uvuvi haramu, kudhibiti wanyama waharibifu, kutunza mazingira ikiwa ni pamoja na upandaji miti na kuhifadhi mazingira mto kagera, wadau hao ni SCC Vi, Obuhangwa, Gugumaji Kassambya, KIMAMU, MAPEC na vikundi vya kijamii.

 

 
 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 

 

 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
     
     
 
     
Copyright © 2008 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera, BUKOBA, TEL: 028 - 2220215/17, FAX: 027-2752184