JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA MKUU WA MKOA KAGERA
     
 
     
KARAGWE
 
 
     
HALMASHAURI YA WILAYA YA KARAGWE
 
Halmashauri < [ Nyumbani ] au
 
 
 

KILIMO

 

Kilimo kinaendelea kuwa uti wa mgongo kwani asilimia kubwa ya wakazi wa Wilaya hii ni wakulima. Kilimo na ufugaji ndizo sekta muhimu ambazo zinatoa ajira kwa zaidi ya asilimia 85% ya wakazi wote.

Uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara hasa Ndizi na Kahawa unapewa kipaumbele. Mazao mengine yanayozalishwa Wilayani ni kama ifuatavyo:-

 

 
 
 
 

UZALISHAJI WA MAZAO YA KILIMO MWAKA 2006/07

 

ZAO

ENEO LILILOLIMWA (Ha.)

MATARAJIO YA MAVUNO (Tani)

UZALISHAJI KWA Ha (Tani)

MAVUNO HALISI (Tani)

Ndizi

42,218

717,706

17.0

556,000

Kahawa

16,177

24,261

1.5

14,570

Maharage

56,000

42,000

0.75

38,520

Mahindi

45,000

67,500

1.5

53,950

Mhogo

5,092

5,920

0.5

5,090

Viazi Vitamu

3,470

34,700

10.0

2,750

Viazi Mviringo

4,950

49,500

10.0

32,500

Mtama wa Pombe

6,030

6,030

1.0

14,570

Njegere

1,300

650

0.75

570

Karanga

5,500

5,125

0.75

4,225

Ulezi

45

45

1.0

20

Soya Beans

-

-

-

-

Mboga mboga

250

450

1.8

415

Matunda

3,116

2,960

0.95

1,250

 

  MAZAO MBADALA NA MAZAO YA UKAME NA YANAYOVUMILIA MAGONJWA

Alizeti Hili ni zao linalobuniwa, ambalo limeonyesha mafanikio ya uzalishaji, zao hili likiboreshwa na kuandaliwa soko la uhakika au zao lenyewe au mazao yake (mafuta) litasaidia jamii kuinua kipato chao.

Mihogo Zao hili linakubali hali ya hewa ya hapa, juhudi zinafanywa kuhamasisha jamii ili ililime sana, hata kama halitatumika kama chakula, uzalishaji kwa wingi utasaidia kuuza na kuongeza kipato hivyo kusaidia kupunguza umaskini

 

 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 

 

 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
     
     
 
     
Copyright © 2008 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera, BUKOBA, TEL: 028 - 2220215/17, FAX: 027-2752184