Wilaya inavyo viwanda 4 vya kukoboa Kahawa. Kwa mwaka 2006/07 kiasi cha tani 15,494.4 za kahawa ya maganda zenye thamani ya Tshs. 6,877,498,793.= zimenunuliwa. Kati ya hizo tani 11,383.9 zilinunuliwa na Chama Kikuu cha Ushirika Wilaya ya Karagwe (KDCU).
Aidha Wilaya inazo benki mbili ambazo ni NMB (The National Microfinance Bank) na Benki ya Maendeleo Vijijini (The CRDB Bank).
|