Kuweka mazingira yatakayovutia utumiaji wa fursa na raslimali zilizopo kuchochea maendeleo endelevu ya kijamii na kiuchumi yatakayo punguza umaskini, kujenga utawala bora na serikali za Mitaa zenye nguvu na zinazowashirikisha wananchi wake na wadau wengine kutoa huduma bora.
|