JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA MKUU WA MKOA KAGERA
     
 
     
 
 
     
UTALII
 
Mada .. [ Nyumbani ] au
 
Utalii na mambo ya kale
 

Sekta ya utalii inaendelea kukua baada ya kuboresha vivutio vya kitalii mkoani. Vivutio hivyo ni :-

•  Musila Island

•  Kagera Museum

•  Rubale Forest water falls

•  Gera water falls

•  Kanazi palace

•  Rubondo Island

•  Nyakijoga rock paintings

•  Karobela beach

Jumla ya watalii 1045 wa ndani na nje walitembelea mkoa wa Kagera katika kipindi cha mwaka 2007 kama inavyoonekana katika Jedwali.

 
 
 

Watalii waliotembelea Mkoa wa Kagera 2007

Na

NCHI WATOKAYO (ORIGIN)

IDADI YA WATALII

1

Tanzania

244

2

Uholanzi

383

3

Marekani

100

4

Ujerumani

69

5

Denmark

76

6

Uingereza

46

7

Canada

22

8

Australia

18

9

Sweden

23

10

Ureno

8

11

Hispania

6

12

Uganda

7

13

Ufaransa

8

14

Italia

10

15

New Zealand

4

16

Switzerland

7

17

Ubelgiji

9

18

Chekoslovakia

2

19

Afrika Kusini

2

20

Finland

1

 

JUMLA

1045

Chanzo : Kiroyera-Bukoba Tourist Centre, Des-2007 .
 

Jitihada imefanyika kwa kuwaelimisha na kuwahamasisha wananchi kutembelea sehemu zenye vivutio au makumbusho ya historia ya nchi yetu. Hii itasaidia wananchi kuelewa urithi wa nchi yetu, kuutunza, kuulinda na hata kuuimarisha kwa ajili ya vizazi vijavyo.

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 

 

 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 
 

kwa habari nzuri na taarifa za kitalii Mkoani Kagera tembelea tovuti hii www.kiroyeratours.com

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 
Mada [ Nyumbani ] au
Rudi juu
 
     
Copyright © 2008 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera, BUKOBA, TEL: 028 - 2220215/17, FAX: 028-2752184