LENGO LA SEHEMU YA MENEJIMENTI YA SERIKALI ZA MITAA
Kutoa ushauri wa kiutaalam na huduma kwa MSM ili kuimarisha utawala bora.
Sehemu hii inafanya kazi zifuatazo:-
Kutoa ushauri juu ya marejeo ya miundo ya Halmashauri (LGA structure)
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera
Anwani: S.L.P 299 BUKOBA
Simu ya Mezani: 255 28 2220215/17
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras.kagera@tamisemi.go.tz
Haki zote zimehifadhiwa