|
![]() |
|
|
Lt. Col.Michael M.Mntenjele
|
|
|
Mkuu wa Wilaya ya Ngara
|
|
WASIFU WA MKUU WA WILAYA YA NGARA LT. COL. MICHAEL MANGWELA MNTENJELE
Na. |
Aina ya Taarifa
|
Maelezo
|
|||
1. |
Jina Kamili na
Utambulisho |
Lt. Col. Michael Mangwela Mntenjele
|
|||
2. |
Tarehe ya Kuzaliwa
|
Mei 25, 1967
|
|||
3. |
Elimu au Mafunzo
|
Jina la Shule/Chuo
|
Kutoka Mwaka |
Hadi Mwaka |
Kiwango (Mfano Cheti/Shahada) |
i |
Bachelor of Education
{BA (Ed)} |
Chuo Kikuu cha
Dar es Salaam |
1992 |
1996 |
Shahada |
ii |
Diploma in Education
|
Chuo cha Ualimu Korogwe
|
1987 |
1990 |
Diploma |
iii |
Elimu ya Sekondari
|
Shule ya Sekondari
Bihawana |
1983 |
1986 |
Cheti |
iv |
Elimu ya Msingi
|
Shule ya Msingi Zejele
|
1976 |
1982 |
Cheti |
4. |
Mafunzo Mengine
|
Jina la Mafunzo |
Lini |
Wapi
|
|
i |
Mafunzo ya Kijeshi
(CGSC) |
Command and General Staff Course
|
2014 |
Fort Leavnworth Kansas -USA
|
|
ii |
Mafunzo ya Kijeshi
(J/CSC) |
Junior Command and Staff Course
|
2011 |
Twalipo - Dar es Salaam
|
|
iii |
Mafunzo ya Kijeshi
(CCC) |
Company Commander’s Course
|
2005 |
TMA – Monduli Arusha
|
|
iv |
Mafunzo ya Kijeshi
(PCC) |
Platoon Commander’s Course
|
2000 |
TMA – Monduli Arusha
|
|
v |
Mafunzo ya Kijeshi
(O/CDT) |
Officer Cadet Training
|
1997/8 |
TMA – Monduli Arusha
|
|
vi |
Mafunzo ya Kijeshi
(RECRUIT) |
Basic Military Training
|
1997 |
RTS – Kunduchi Dar es Salaam
|
|
5. |
Uzoefu na Ajira
|
Kampuni/ Taasisi |
Nafasi |
Kutoka Mwaka |
Hadi Mwaka |
i |
Mkuu wa Wilaya
|
Wilaya ya Ngara Mkoani
Kagera |
Mkuu wa Wilaya |
2016 |
Hadi Sasa |
ii |
Instructor
|
School of Infantry
|
Instructor |
2013 |
2016 |
iii |
Deputy Commander
|
Mafinga JKT (841 KJ)
|
Bn 2i/c |
2011 |
2013 |
iv |
Kaimu Mkuu wa Shule
|
Shule ya Sekondari
Jitegemee (JKT) |
Kaimu Mkuu wa Shule |
2010 |
2011 |
v |
Makamu Mkuu wa Shule
|
Shule ya Sekondari
Jitegemee (JKT) |
Makamu Mkuu wa Shule |
2008 |
2010 |
vi |
Mwalimu
|
Shule ya Sekondari
Jitegemee (JKT) |
Mwalimu |
1998 |
2008 |
|
![]() |
|
|
Bw. Vedastus Tibaijuka
|
|
|
Katibu Tawala wa Wilaya ya Ngara
|
|
|
|
|
WASIFU WA KATIBU TAWALA WA WILAYA YA NGARA BW. TIBAIJUKA VEDASTUS JOSEPHAT
Na. |
Ainaya Taarifa
|
Maelezo
|
|||
1. |
Jina Kamili na Utambulisho
|
Bw. Tibaijuka Vedastus Josephat
|
|||
2. |
Tarehe ya Kuzaliwa
|
Februari 1, 1971
|
|||
3. |
Elimu au Mafunzo
|
Jina la Shule/Chuo
|
Kutoka Mwaka |
Hadi Mwaka |
Kiwango (Mfano Cheti/Shahada) |
i |
Bachelor of Education Public
Administration |
Chuo Kikuu cha
Dar es Salaam |
1995 |
1998 |
Shahada |
ii |
Elimu ya Sekondari Kidato cha
V & VI |
Shule ya Sekondari Galanos
(Tanga) |
1991 |
1993 |
Cheti |
iii |
Elimu ya Sekondari
|
Shule ya Sekondari Kahororo
(Bukoba) |
1987 |
1990 |
Cheti |
iv |
Elimu ya Msingi
|
Shule ya Msingi Kiteme
(Muleba) |
1980 |
1986 |
Cheti |
4. |
Mafunzo Mengine
|
Jina la Mafunzo |
Lini |
Wapi
|
|
i |
Mafunzo ya National Service
(JKT) |
National Service JKT
|
Jan.-Juni 1994
|
Oljoro JKT (Arusha)
|
|
ii |
Short Course Training
(Certificate) |
New Labour Law and Public Service
Labour Legisations Collective Bargaining and Preparations for retirement |
June 2010 |
Mwanza
|
|
iii |
Short Course Training
(Certificate) |
Training in Human Capital Management
Information System (HCMLS) - LAWSON |
Mei, 2011 |
Dar es Salaam
|
|
iv |
Short Course Training
(Certificate) |
Training in Result Based Management
|
Desemba, 2013 |
Dar es Salaam
|
|
5. |
Uzoefu na Ajira
|
Kampuni/ Taasisi |
Nafasi |
Kutoka Mwaka |
Hadi Mwaka |
i |
Katibu Tawala wa Wilaya
|
Wilaya ya Ngara Mkoani
Kagera |
Katibu Tawala |
2013 |
Hadi Sasa |
ii |
Afisa Utumishi Mwandamizi
|
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa
Kagera |
Afisa Utumishi Mwandamizi |
2006 |
2013 |
iii |
Katibu wa Mkuu wa Mkoa
|
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa
Kagera |
Katibu |
2006 |
2007 |
iv |
Mwalimu na Mwalimu wa
Taaluma Mwandamizi |
Shule ya Sekondari Ihungo
(Bukoba) |
Mwalimu na Mwalimu wa Taaluma Mwandamizi |
1999 |
2006 |
HISTORIA YA WILAYA YA NGARA
|
Ngara ni Wilaya inayopatikana katika Mkoa wa Kagera Kaskazini Magharibi. Pia inapakana na Wilaya za Karagwe na Biharamlo za Mkoa wa Kagera na Kakonko ya Mkoa wa Kigoma.
Wilaya ya Ngara inakaliwa na Makabila ya Wahangaza na Washubi. Wilaya ya Ngara inapakana na nachi za Rwanda na Burundi na lugha ya wananchi wa Ngara ni Kihangaza na Kishubi.
Wilaya ya Ngara kabla ya kuitwa Ngara iliitwa Kibimba (yaani pori). Chanzo cha jina hilo la Ngara lilitokana na sehemu iliyokuwa maaalumu kwa mikutano ambayo ilifanyika chini ya miti mikubwa inayoitwa Iminyinya Yingara (miti mikubwa yenye matawi yaliyosambaa) ambapo kwa sasa eneo hilo ndipo yalipo majengo ya Halmashauri ya Wilaya ya Ngara na mti wa kumbukumbu upo mpaka sasa. Na hapo ndipo jina la Ngara lilipotokea.
ORODHA YA WAKUU WA WILAYA YA NGARA TANGU MWAKA 1961 HADI SASA |
NA. |
JINA KAMILI
|
MWAKA WA KUINGIA |
MWAKA WA KUTOKA |
1. |
LT. COL. MICHAEL M. MNTENJELE
|
2016 |
- |
2. |
HONORATHA CHITANDA
|
2015 |
2016 |
3. |
COSTANTINE JOHN KANYASU
|
2012 |
2015 |
4. |
COL. (MST) S.W. NYAKONJI
|
2006 |
2012 |
5. |
COL. SAMUEL A. NDOMBA
|
2005 |
2006 |
6. |
LT. COL. SAMUEL A. NDOMBA
|
2001 |
2005 |
7. |
DEUSDEDIT MTAMBALIKE
|
1999 |
2001 |
8. |
LT. EVANCE BALAMA
|
1996 |
1999 |
9. |
BRG. GEN. SYLVESTER HEMED
|
1994 |
1996 |
10. |
JONAS MWAKISYOMBE
|
1992 |
1994 |
11. |
LT. EVANCE BALAMA
|
1990 |
1992 |
12. |
ANTONY T.NDERUMAKI
|
1987 |
1990 |
13. |
JOHN PETER TAYALI
|
1983 |
1987 |
14. |
FAUSTINE KATOYO
|
1979 |
1983 |
15. |
PAULO GHEMELA
|
1976 |
1979 |
16. |
ENOCK LYANGALO
|
1975 |
1976 |
17. |
LOSA KYOMBA YEMBA
|
1973 |
1975 |
18. |
PIUS MIKONGOTI
|
1972 |
1973 |
19. |
IBRAHIM KAJEMBO
|
1969 |
1972 |
20. |
WAZIRI JUMA WAZIRI
|
1967 |
1969 |
21. |
MBUTA M. MIRANDO
|
1966 |
1967 |
22. |
EBRAHIM BAMPENJA
|
1963 |
1966 |
23. |
EDWIN ARAN K. NYAMUBI
|
1962 |
1963 |
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera
Anwani: S.L.P 299 BUKOBA
Simu ya Mezani: 255 28 2220215/17
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras.kagera@tamisemi.go.tz
Haki zote zimehifadhiwa