• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na SerikaliI za Mitaa Mkoa wa Kagera

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu/Vitengo
      • Sehemu
        • Usimamizi Ufuatiliaji na Ukaguzi
        • Miundombinu
        • Elimu
          • Elimu ya Msingi
          • Elimu ya Sekondari
          • Elimu ya Watu Wazima
          • Elimu ya Juu
          • Michezo
          • Vijana
        • Afya
          • Afya
          • Ustawi wa Jamii
        • Utawala na Rasilimali Watu
        • Mipango na Uratibu
          • Mipango
          • Takwimu
          • Maendeleo ya Jamii
          • TASAF
        • Uchumi na Uzalishaji
          • Kilimo cha Umwagiliaji
          • Viwanda na Biashara
          • Uvuvi
          • Mifugo
          • Maliasili, Utalii na Mazingira
          • Ushirika
          • Kilimo
        • Uwekezaji Viwanda na Biashara
      • Vitengo
        • TEHAMA
        • Sheria
        • Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Ugavi
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Bukoba
      • Viongozi wa Bukoba
    • Biharamulo
      • Viongozi wa Biharamulo
    • Karagwe
      • Viongozi wa Karagwe
    • Kyerwa
      • Viongozi wa Kyerwa
    • Missenyi
      • Viongozi wa Missenyi
    • Muleba
      • Viongozi wa Muleba
    • Ngara
      • Viongozi wa Ngara
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Misseny
    • Halmashauri ya Wilaya ya Muleba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ngara
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Fursa za Ufugaji
    • Fursa za Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Jarida
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali

Fursa za Ufugaji

Fursa za Uwekezaji Ufugaji 

  • Uzalishaji wa malisho ya mifugo
  • Kliniki za mifugo
  • Ujenzi wa machinjio ya kisasa
  • Kuongeza uzalishaji kibiashara wa ng'ombe (wa nyama na maziwa) Mbuzi, Kuku Kondoo nk.
  • Usambazaji wa dawa za mifugo

Mkoa wa Kagera una eneo lenye ukubwa wa takribani hekta 1,200,000 ambalo linafaa kwa shughuli za ufugaji. Kati ya eneo hilo eneo lenye ukubwa wa takribani hekta 400,000 pekee ndilo linalotumika kwa shughuli za ufugaji. 

Mkoa wa Kagera kwa kushirikiana na Wizara na Mamlaka za Serikali za Mitaa unaendelea kubainisha maeneo yanayofaa kwa ajili ya ufugaji katika Halmashauri kwa kuzingatia hifadhi ya mazingira na uendelezaji wa malisho. Maeneo yaliyoainishwa katika Halmashauri kwa matumizi ya ufugaji ni kama ifuatavyo:

Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi ina eneo la Hekta 63,884.02. Halmashauri ya Wilaya ya Muleba Hekta 31,927.19.  Aidha, hivi karibuni mpango wa kubaini eneo lenye ukubwa wa Hekta 50,000 linalopendekezwa toka eneo la Mwisa II lililopo kati ya ranchi ya Kagoma na Ziwa Burigi katika Wilaya za Muleba na Karagwe umeanza.

Halmashauri ya wilaya ya Karagwe Hekta 154,000 pamoja na Hekta 2,000 katika Kata ya Kihanga zilizotolewa na Serikali kutoka eneo la NARCO  katika ranchi ya Kitengule. Halmashauri ya wilaya ya Bukoba Hekta 5,930. Halmshauri za wilaya za Biharamulo, Ngara na Kyerwa zimetenga maeneoambayo bado hayajabainishwa ukubwa wa maeneo hayo. Jumla ya maeneo yaliyotengwa na kupimwa katika Mamlaka za Serikali za Mitaa Mkoani Kagera kwa ajili ya wafugaji ni Hekta 307,741.21

Kutokana na uwepo wa idadi kubwa ya mifugo (ng’ombe, mbuzi n.k), mkoa unayo fursa kubwa ya kuanzisha kiwanda cha nyama na maziwa. Aidha, ipo fursa ya kuanzisha kiwanda cha usindikaji na uchakataji ng’ozi na utengenezaji wa bidhaa za ng’ozi kama vile viatu, mikoba, mikanda n.k




Matangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • Tazama zote

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Vituo vya Redio Katika Mkoa wa Kagera
  • Wakuu wa Mkoa wa Kagera Tangu Uhuru Mwaka 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Tovuti Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Takwimu Huria

Wafuatiliaji Kimataifa

world map hits counter

Kaunta ya Wageni

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Anwani: S.L.P 299 BUKOBA

    Simu ya Mezani: 255 28 2220215/17

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu
    • Hakimiliki

Haki zote zimehifadhiwa