• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na SerikaliI za Mitaa Mkoa wa Kagera

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu/Vitengo
      • Sehemu
        • Mamlaka za Serikali za Mitaa
        • Miundombinu
        • Elimu
          • Elimu ya Msingi
          • Elimu ya Sekondari
          • Elimu ya Watu Wazima
          • Elimu ya Juu
          • Michezo
          • Vijana
        • Afya
          • Afya
          • Ustawi wa Jamii
        • Utawala na Rasilimali Watu
        • Mipango na Uratibu
          • Mipango
          • Takwimu
          • Maendeleo ya Jamii
          • TASAF
        • Uchumi na Uzalishaji
          • Kilimo cha Umwagiliaji
          • Viwanda na Biashara
          • Uvuvi
          • Mifugo
          • Maliasili, Utalii na Mazingira
          • Ushirika
          • Kilimo
        • Maji
      • Vitengo
        • TEHAMA
        • Sheria
        • Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Ugavi
  • Wilaya
    • Bukoba
      • Viongozi wa Bukoba
    • Biharamulo
      • Viongozi wa Biharamulo
    • Karagwe
      • Viongozi wa Karagwe
    • Kyerwa
      • Viongozi wa Kyerwa
    • Missenyi
      • Viongozi wa Missenyi
    • Muleba
      • Viongozi wa Muleba
    • Ngara
      • Viongozi wa Ngara
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Misseny
    • Halmashauri ya Wilaya ya Muleba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ngara
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Fursa za Ufugaji
    • Fursa za Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Jarida
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali

Elimu ya Msingi


TAARIFA YA MATOKEO YA DARASA LA VII MWAKA 2018 PAMOJA NA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA I MWAKA 2019 MKOANI KAGERA

Mwaka 2018 Mkoa wa Kagera ulikuwa na jumla ya watahiniwa 47,197 waliotarajiwa kufanya mtihani wa kumaliza Elimu ya Msingi.  Kati ya hao wavulana walikuwa 22,124 na wasichana 25,073.  Watahiniwa waliohitimu ni 46,795 sawa na asilimia 99.11 ya wanafunzi waliotarajiwa. Vile vile kuna jumla ya Wanafunzi 86 wenye mahitaji maalum, kati yao wavulana ni 50   na wasichana ni 36.

Hali halisi ni kuwa, watahiniwa  waliofaulu ni 39,545 sawa na asilimia  84.42 ya watahiniwa waliofanya mtihani, ambapo miongoni mwao ni wavulana ni 18,553 na wasichana ni 20,992. Kiwango cha ufaulu kimepanda kwa asilimia 0.02 ukilinganisha na kiwango cha ufaulu cha asilimia 84.4. kwa mwaka 2017. Kiwango cha ufaulu  tulichokuwa  tumejipangia kimkoa kilikuwa ni 88%. Mheshimiwa Mwenyekiti, jumla ya wanafunzi 25,499  ambapo miongoni mwao  wavulana 12,356 na wasichana 13,143  sawa na asilimia 64.48, ndio waliopata nafasi ya kujinga kidato cha kwanza kwa awamu hii ya kwanza kwa kuzingatia vyumba vya madarasa vilivyopo. Aidha wanafunzi 14,046 wakiwemo wavulana 6,257 na wasichana 7,789 sawa na 35.52% wamefaulu lakini kutokana na uhaba wa vyumba vya madarasa wanasubiri ujenzi wa vyumba vya madarasa kukamilika.

Mchanganuo wa ufaulu kwa kila Halmashauri ni kama inavyoonekana katika Jedwali hapa chini:


2


MGAWANYO WA UFAULU MZURI ZAIDI, UFUNDI NA BWENI KAWAIDA KWA MWAKA 2018

Mwaka 2018, Mkoa wa Kagera umepatiwa jumla ya nafasi 143 kwa ajili ya shule za Bweni, Ufundi na Ufaulu mzuri zaidi kati ya hao wasichana ni 49 na wavulana ni 94.  Nafasi zimeongezeka kwa idadi ya wanafunzi 17 ukilinganisha na nafasi 126 ambazo Mkoa ulipewa mwaka 2017. Mchanganuo wa nafasi kwa kila Halmashauri na shule walizokwenda ni kama inavyoonyeshwa kwenye majedwali yafuatayo:-

 

MGAWANYO WA NAFASI ZA BWENI  KAWAIDA WASICHANA KWA MWAKA 2018

NA

WILAYA

RUGAMBWA

TUMAINI

KAZIMA

KIGOMA GRAND

JUMLA

1.

Biharamulo

1

0

0

0

1

2.

Bukoba (V)

2

1

1

1

5

3.

Bukoba (M)

1

0

0

0

1

4.

Karagwe

1

1

1

1

4

5.

Kyerwa

1

0

1

0

2

6.

Missenyi

1

0

0

0

1

7.

Muleba

4

1

1

1

7

8.

Ngara

1

0

1

0

2

JUMLA

12

3

5

3

23

 

      MGAWANYO WA NAFASI ZA BWENI KAWAIDA WAVULANA KWA MWAKA 2018

NA

WILAYA

KIGOMA GRAND

MOSHI

SHINYANGA

JUMLA

1.

Biharamulo

1

1

1

3

2.

Bukoba (V)

1

1

1

3

3.

Bukoba (M)

1

0

0

1

4.

Karagwe

1

1

1

3

5.

Kyerwa

1

1

1

3

6.

Missenyi

1

1

0

2

7.

Muleba

2

2

2

6

8.

Ngara

1

1

1

3

JUMLA

9

8

7

24

        

  MGAWANYO WA NAFASI ZA UFUNDI  WAVULANA KWA MWAKA 2018

NA

WILAYA

MUSOMA UFUNDI

BWIRU UFUNDI

JUMLA

1.

Biharamulo

1

3

4

2.

Bukoba (V)

2

4

6

3.

Bukoba (M)

1

2

3

4.

Karagwe

2

4

6

5.

Kyerwa

2

4

6

6.

Missenyi

1

3

4

7.

Muleba

4

7

11

8.

Ngara

2

4

6

JUMLA

15

31

46

 

  MGAWANYO WA NAFASI ZA UFUNDI WASICHANA KWA MWAKA 2018

NA

WILAYA

MOSHI UFUNDI

JUMLA

1.

Biharamulo

0

0

2.

Bukoba (V)

1

1

3.

Bukoba (M)

0

0

4.

Karagwe

1

1

5.

Kyerwa

1

1

6.

Missenyi

0

0

7.

Muleba

1

1

8.

Ngara

1

1

JUMLA

5

5

 

MGAWANYO WA NAFASI ZA UFAULU MZURI  ZAIDI KWA WASICHANA MWAKA 2018

NA

WILAYA

MSALATO

TABORA 

JUMLA

1.

Biharamulo

0

2

2

2.

Bukoba (V)

1

2

3

3.

Bukoba (M)

0

1

1

4.

Karagwe

1

2

3

5.

Kyerwa

1

2

3

6.

Missenyi

0

1

1

7.

Muleba

1

4

5

8.

Ngara

1

2

3

JUMLA

5

16

21

 

 MGAWANYO WA NAFASI KWA WANAFUNZI WENYE UFAULU MZURI ZAIDI KWA WAVULANA KWA MWAKA 2018

NA

WILAYA

TABORA 

MZUMBE

JUMLA

1.

Biharamulo

1

1

2

2.

Bukoba (V)

2

1

3

3.

Bukoba (M)

1

1

2

4.

Karagwe

2

1

3

5.

Kyerwa

2

1

3

6.

Missenyi

1

1

2

7.

Muleba

3

3

6

8.

Ngara

2

1

3

JUMLA

14

10

24

 

 

KWA UFUPI MGAWANYO WA NAFASI ZA UFAULU MZURI ZAIDI, UFUNDI NA BWENI KWA WAVULANA NA WASICHANA MWAKA 2018 NI KAMA IFUATAVYO:

WAVULANA 

NA

HALMASHAURI

MZUMBE

TABORA WAV

MUSOMA UFUNDI

BWIRU UFUNDI

KIGOMA GRAND

MOSHI

SHINYANGA

JUMLA

1.

Biharamulo

1

1

1

3

1

1

1

9

2.

Bukoba (V)

1

2

2

4

1

1

1

12

3.

Bukoba (M)

1

1

1

2

1

0

0

6

4.

Karagwe

1

2

2

4

1

1

1

12

5.

Kyerwa

1

2

2

4

1

1

1

12

6.

Missenyi

1

1

1

3

1

1

0

8

7.

Muleba

3

3

4

7

2

2

2

23

8.

Ngara

1

2

2

4

1

1

1

12

JUMLA

10

14

15

31

9

8

7

94


NA

HALMASHAURI 

SHULE 

MSALATO

TABORA WAS

MOSHI UFUNDI
RUGAMBWA

TUMAINI

KAZIMA

KIGOMA GRAND
JML

1

Biharamulo

0

2

0

1

1

0

0

3

2

Bukoba (V)

1

2

1

2

1

1

1

9

3

Bukoba (M)

0

1

0

1

0

0

0

2

4

Karagwe

1

2

1

1

1

1

1

8

5

Kyerwa

1

2

1

1

0

1

0

6

6

Missenyi

0

1

0

1

0

0

0

2

7

Muleba

1

4

1

4

1

1

1

13

8

Ngara

1

2

1

1

0

1

0

6


JUMLA

5

16

5

12

3

5

3

49


WASICHANA

NA

HALMASHAURI 

SHULE 

MSALATO

TABORA WASICHANA

MOSHI UFUNDI
RUGAMBWA

TUMAINI

KAZIMA

KIGOMA GRAND
JUMLA

1

Biharamulo

0

2

0

1

1

0

0

3

2

Bukoba (V)

1

2

1

2

1

1

1

9

3

Bukoba (M)

0

1

0

1

0

0

0

2

4

Karagwe

1

2

1

1

1

1

1

8

5

Kyerwa

1

2

1

1

0

1

0

6

6

Missenyi

0

1

0

1

0

0

0

2

7

Muleba

1

4

1

4

1

1

1

13

8

Ngara

1

2

1

1

0

1

0

6


JUMLA

5

16

5

12

3

5

3

49

 

Aidha, shule kumi bora na Shule kumi duni kimkoa zimeainishwa kama inavyoonekana kwenye majedwali yafuatayo:

 

jedwali 20:   SHULE KUMI BORA ZENYE WATAHINIWA 40 NA ZAIDI  MWAKA    
                                                             2018

 

                      SHULE 10 BORA ZAIDI YA WATAHINIWA 40

NA

SHULE

NAFASI KIWILAYA KATI YA 57

NAFASI KIMKOA KATI YA 563

NAFASI KITAIFA KATI YA 10,090

HALMASHAURI

NAMBA MFICHO

1

JOSIAH KIBIRA

1

1

7

MISSENYI DC
A

2

ST. ACHILEUS KIWANUKA EMPS

1

2

8

MULEBA DC
A

3

ST. Severine

1

3

9

BIHARAMULO DC
A

4

BOHARI

1

5

12

KARAGWE DC
A

5

ST PETER CLEVER

2

6

14

KARAGWE DC
A

6

KEMEBOS

1

7

18

BUKOBA MC
A

7

QUDUS

2

8

24

BUKOBA MC
A

8

KARUME

3

9

65

BUKOBA MC
A

9

TEGEMEO

3

10

95

KARAGWE DC
A

10

PRINCE

1

11

98

NGARA
A

 

Jedwali 21: SHULE KUMI BORA ZENYE WATAHINIWA CHINI YA 40

NA

SHULE

NAFASI KIWILAYA KATI YA 57

NAFASI KIMKOA KATI YA 563

NAFASI KITAIFA KATI YA 10,090

HALMASHAURI

NAMBA MFICHO 

1

NAPS

1

1

12

NGARA
B

2

MAWINGU

1

2

13

KYERWA DC
B

3

Victory

1

3

24

BIHARAMULO DC
B

4

BEMBELEZA EMPS

1

4

43

MULEBA DC
B

5

RUSUMO NEW VISION

2

5

49

NGARA
B

6

KIDO

2

6

57

KYERWA DC
B

7

BUHEMBE ENG

1

7

61

BUKOBA MC
B

8

OMUKALIRO

1

8

65

KARAGWE DC
B

9

MURUGARAGARA

3

9

75

NGARA
B

10

KAZOBA

2

10

101

KARAGWE DC
B
 
Jedwali 22. ORODHA YA SHULE 20 BORA KIMKOA
 

NA

SHULE

NAFASI KIWILAYA

NAFASI KIMKOA

NAFASI KITAIFA

HALMASHAURI

NA.MFICHO

1

JOSIAH KIBIRA

1

1

7

MISSENYI DC

A

2

ST. ACHILEUS KIWANUKA EMPS

1

2

8

MULEBA DC

A

3

ST. Severine

1

3

9

BIHARAMULO DC

A

4

NAPS

1

1

12

NGARA

B

5

BOHARI

1

5

12

KARAGWE DC

A

6

MAWINGU

1

2

13

KYERWA DC

B

7

ST PETER CLEVER

2

6

14

KARAGWE DC

A

8

KEMEBOS

1

7

18

BUKOBA MC

A

9

Victory

1

3

24

BIHARAMULO DC

B

10

QUDUS

2

8

24

BUKOBA MC

A

11

BEMBELEZA EMPS

1

4

43

MULEBA DC

B

12

RUSUMO NEW VISION

2

5

49

NGARA

B

13

KIDO

2

6

57

KYERWA DC

B

14

BUHEMBE ENG

1

7

61

BUKOBA MC

B

15

OMUKALIRO

1

8

65

KARAGWE DC

B

16

KARUME

3

9

65

BUKOBA MC

A

17

MURUGARAGARA

3

9

75

NGARA

B

18

TEGEMEO

3

10

95

KARAGWE DC

A

19

PRINCE

1

11

98

NGARA

A

20

KAZOBA

2

10

101

KARAGWE DC

B

ANGALIZO:   A = ZAIDI YA WANAFUNZI 40;    B = CHINI YA WANAFUNZI 40












 
Jedwali  23: SHULE KUMI DUNI ZENYE WATAHINIWA 40 NA ZAIDI

SHULE  10 DUNI ZAIDI YA WATAHINIWA 40

NA

SHULE

NAFASI KIWILAYA KATI YA 57

NAFASI KIMKOA KATI YA 563

NAFASI KITAIFA KATI YA 10,090

HALMASHAURI

NAMBA MFICHO

1

KIGINA

57

563

10008

NGARA
A

2

KAFUNJO

79

562

9815

KARAGWE DC
A

3

KATORO

92

561

9794

BUKOBA DC
A

4

KISHURO

145

560

9742

MULEBA DC
A

5

MISHA

78

559

9648

KARAGWE DC
A

6

NGENGE

144

558

9637

MULEBA DC
A

7

BUCHURAGO

43

557

9609

MISSENYI DC
A

8

NYABWEZIGA

77

556

9441

KARAGWE DC
A

9

BULEMBO

42

555

9353

MISSENYI DC
A

10

KIJUMBURA

76

554

9309

KARAGWE DC
A

 

 

SHULE KUMI DUNI ZENYE WATAHINIWA CHINI YA 40

Jedwali  24:  SHULE  10 DUNI PUNGUFU YA WATAHINIWA 40


NA

SHULE

NAFASI KIWILAYA KATI YA 659

NAFASI KIMKOA KATI YA 377

NAFASI KITAIFA KATI YA 6,726

HALMASHAURI

NAMBA MFICHO

1

KYARUTARE

84

374

6392

MULEBA DC
B

2

MABALEGERA

83

369

6006

MULEBA DC
B

3

ISHOZI

54

329

6726

MISSENYI DC
B

4

NYERERE

26

323

6726

KYERWA DC
B

5

MISHAMBYA

85

377

6567

MULEBA DC
B

6

RWINA

55

376

6521

BUKOBA DC
B

7

MUGONGO

61

375

6486

MISSENYI DC
B

8

KYABUGOMBE

60

373

6323

MISSENYI DC
B

9

KIKAGATI

54

372

6279

BUKOBA DC
B

10

KYABAJWA

59

371

6255

MISSENYI DC
B
 
 
 
 
 
 
2.2.3      MATOKEO YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI - PSLE 2018

Jedwali  25:  ORODHA YA SHULE  20 DUNI KIMKOA

 


NA

SHULE

NAFASI KIWILAYA KATI YA 57

NAFASI KIMKOA KATI YA 563

NAFASI KITAIFA KATI YA 10,090

HALMASHAURI



1

KIGINA

57

563

10008

NGARA

A


2

KAFUNJO

79

562

9815

KARAGWE DC

A


3

KATORO

92

561

9794

BUKOBA DC

A


4

KISHURO

145

560

9742

MULEBA DC

A


5

MISHA

78

559

9648

KARAGWE DC

A


6

NGENGE

144

558

9637

MULEBA DC

A


7

BUCHURAGO

43

557

9609

MISSENYI DC

A


8

NYABWEZIGA

77

556

9441

KARAGWE DC

A


9

BULEMBO

42

555

9353

MISSENYI DC

A


10

KIJUMBURA

76

554

9309

KARAGWE DC

A


11

ISHOZI

54

329

6726

MISSENYI DC

B


12

NYERERE

26

323

6726

KYERWA DC

B


13

MISHAMBYA

85

377

6567

MULEBA DC

B


14

RWINA

55

376

6521

BUKOBA DC

B


15

MUGONGO

61

375

6486

MISSENYI DC

B


16

KYABUGOMBE

60

373

6323

MISSENYI DC

B


17

KIKAGATI

54

372

6279

BUKOBA DC

B


18

KYABAJWA

59

371

6255

MISSENYI DC

B


19

KYARUTARE

84

374

6392

MULEBA DC

B


20

MABALEGERA

83

369

6006

MULEBA DC

B
















2.3       NAFASI ZA UFAULU KIMKOA NA KIHALMASHAURI MWAKA

           2018

2.3.1  Nafasi za ufaulu wa Halmashauri za mkoa na kwa Halmashauri za kitaifa

kwa miaka mitatu mfululizo 2016 – 2018 ni kama ifuatavyo:-

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 
Jedwali 26: NAFASI ZA HALMASHAURI KIMKOA NA KITAIFA MWAKA 2016

 

NA.

HALMASHAURI

NAFASI YA 5 KIMKOA 

KATI YA 25

NAFASI KITAIFA 

KATI YA 184

1.

Ngara

1

12

2.

Biharamulo

2

21

3.

Muleba

3

24

4.

Bukoba (M)

4

26

5.

Missenyi

5

46

6.

Kyerwa

6

53

7.

Karagwe

7

54

8.

Bukoba (V)

8

69

2.3.2   Jedwali 27:  NAFASI ZA HALMASHAURI KIMKOA NA KITAIFA MWAKA 

2017

 

NA.

HALMASHAURI

NAFASI YA 3 KIMKOA 

KATI YA 26

NAFASI KITAIFA 

KATI YA 186

1.

Bukoba (M)

1

12

2.

Biharamulo

2

19

3.

Muleba

3

23

4.

Bukoba (V)

4

25

5.

Missenyi

5

35

6.

Karagwe

6

36

7.

Kyerwa

7

49

8.

Ngara

8

52

 

NAFASI ZA HALMASHAURI KIMKOA NA KITAIFA MWAKA 2018

 

 Mkoa wa Kagera kwa mwaka 2018 umeshika nafasi ya 5 Kitaifa kama jedwali namba linavyofafanua:-

Jedwali 28:

NA.

HALMASHAURI

NAFASI YA  KIMKOA 

KATI YA 26

NAFASI KITAIFA 5

KATI YA 186

1.

Biharamulo

1

11

2.

Bukoba MC

2

20

3.

Ngara

3

30

4.

Muleba

4

38

5.

Missenyi

5

48

6.

Bukoba DC

6

66

7.

Kyerwa

7

91

8.

Karagwe

8

96


WAVULANA KUMI BORA KIMKOA

Jedwali  29: ORODHA YA WANAFUNZI 10 BORA WAVULANA



NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MTAHINIWA

SHULE ATOKAYO

KISW

ENGL

MA'FA

HISB

SAY

JML

HALMASHAURI

JINSIA



01
PS0505183-009
DIOMEDES JAMES MBOGO
ST. ACHILEUS
49
49
45
50
50
243
MULEBA
1


02
PS0505183-011
EDSON FAUSTINE MTALEMWA
ST. ACHILEUS
48
48
48
50
47
241
MULEBA
1


03
PS0502139-021
DENIS YESIGE AUDAX
RWEIKIZA
50
50
46
50
45
241
BUKOBA DC
1


04
PS0508024-011
BETSON MUGISHA MUCHUNGUZI
JKIBIRA
49
49
48
50
45
241
MISSENYI
1


05
PS0505183-004
CRISPIN MULOKOZI KAMUGISHA
ST. ACHILEUS
48
49
45
50
48
240
MULEBA
1


06
PS0505183-029
PEMAKUS MSIZA HANING
ST. ACHILEUS
49
48
47
50
46
240
MULEBA
1


07
PS0505183-033
REVOCATUS MUGANYIZI PROJESTUS
ST. ACHILEUS
49
46
47
50
47
239
MULEBA
1


08
PS0505183-034
RICHARD JACKSON RICHARD
ST. ACHILEUS
48
49
45
50
47
239
MULEBA
1


09
PS0505183-014
EVATH MKIZA ELISHA
ST. ACHILEUS
49
47
47
50
46
239
MULEBA
1


10
PS0505183-041
WIRO KAMUGISHA RUTECHURA.
ST. ACHILEUS
49
47
47
50
46
239
MULEBA
1















Jedwali  30: ORODHA YA WANAFUNZI 10 BORA WASICHANA

 

NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MTAHINIWA

SHULE ATOKAYO

KISW

ENGL

MA'FA

HISB

SAY

JML

HALMASHAURI

JINSI
01
PS0505183-042
ALDINA DONATIAN LUFURANO
ST. ACHILEUS
48
48
48
50
46
240
MULEBA
2
02
PS0501076-036
BEATRICE FRANK LEONARD
ST SEVERINE
50
48
45
50
47
240
BIHARAMULO
2
03
PS0503033-056
LUCIA MKAMI CHARLES
KARUME
48
49
46
50
46
239
BUKOBA MC
2
04
PS0508024-059
LEWINA AGASHA FAUSTINE
JKIBIRA
49
49
45
50
46
239
MISSENYI
2
05
PS0504112-033
DOREEN GODWINE BANA
ST PETER CLAVER
49
48
47
50
45
239
KARAGWE
2
06
PS0505183-047
ATILA SHUBIRA EGIDIUS
ST. ACHILEUS
46
47
48
50
47
238
MULEBA
2
07
PS0505183-066
MELINAS MAPINDUZI HOLOGO
ST. ACHILEUS
48
50
43
50
47
238
MULEBA
2
08
PS0502139-084
ENNATA KANKIZA SIGSIBERT
RWEIKIZA
47
48
46
50
46
237
BUKOBA D
2
09
PS0501076-046
HELLENA BENJAMIN KUNDY
ST SEVERINE
50
48
45
50
44
237
BIHARAMULO
2
10
PS0508024-043
CAROLINE FANUEL MARIKI
JKIBIRA
47
47
48
50
45
237
MISSENYI
2

 

 

 

\ 

 

Jedwali  31: ORODHA YA WANAFUNZI 10 BORA KIMKOA

 

WAVULANA NA WASICHANA

NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MTAHINIWA

SHULE ATOKAYO

KISW

ENGL

MA'FA

HISB

SAY

JML

HALMASHAURI

JINSIA

01

PS0505183-009
DIOMEDES JAMES
MBOGO
ST. ACHILEUS
49
49
45
50
50
243
MULEBA
1

02

PS0505183-011
EDSON FAUSTINE MTALEMWA
ST. ACHILEUS
48
48
48
50
47
241
MULEBA
1

03

PS0502139-021
DENIS YESIGE AUDAX
RWEIKIZA
50
50
46
50
45
241
BUKOBA DC
1

04

PS0508024-011
BETSON MUGISHA MUCHUNGUZI
JKIBIRA
49
49
48
50
45
241
MISSENYI
1

05

PS0505183-004
CRISPIN MULOKOZI KAMUGISHA
ST. ACHILEUS
48
49
45
50
48
240
MULEBA
1

06

PS0505183-029
PEMAKUS MSIZA HANING
ST. ACHILEUS
49
48
47
50
46
240
MULEBA
1

07

PS0505183-042
ALDINA DONATIAN LUFURANO
ST. ACHILEUS
48
48
48
50
46
240
MULEBA
2

08

PS0501076-036
BEATRICE FRANK LEONARD
ST SEVERINE
50
48
45
50
47
240
BIHARAMULO
2

09

PS0505183-033
REVOCATUS MUGANYIZI PROJESTUS
ST. ACHILEUS
49
46
47
50
47
239
MULEBA
1

10

PS0505183-034
RICHARD JACKSON RICHARD
ST. ACHILEUS
48
49
45
50
47
239
MULEBA
1

 

 

 

 

  Jedwali  32:      ORODHA YA WANAFUNZI 10 DUNI KIMKOA

 

                                         WAVULANA 10 DUNI

NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MTAHINIWA

SHULE ATOKAYO

KISW

ENGL

MA'FA

HISB

SAY

JML

HALMASHAURI

JINSIA

1

PS0506072-007
MUSA MODHESI PHILIMON
IBUGA

0

4

0

1

4

9

NGARA

1

2

PS0505087-006
ARUSTADI BASHIRU MWAMUDU
MAYONDWE

2

0

8

0

3

13

MULEBA

1

3

PS0505125-001
ALISTIDES KANINGO EMILIAN
RWIGEMBE

2

3

5

0

3

13

MULEBA

1

4

PS0505098-007
ANESIUS RWEGASIRA WILLBROAD
NSHAMBYA

0

4

3

1

7

15

MULEBA

1

5

PS0502098-016
ISMAIL KAIJAGE MUHAMUDU
OMUKARAMA

5

1

5

0

4

15

BUKOBA DC

1

6

PS0502002-010
CRINTON KYESHE SALVATORY
BUJUGO

3

5

4

0

5

17

BUKOBA DC

1

7

PS0506024-036
SIMON MACHULELE PASCHAL
MBUBA

2

2

7

3

4

18

NGARA

1

8

PS0502100-016
FORTUNATUS FELIX MUTUNGI
RUBAFU

3

3

7

2

3

18

BUKOBA DC

1

9

PS0505078-020
EVIAN ABUKILWA NIKODEM
KYEBITEMBE

1

7

5

3

3

19

MULEBA

1

10

PS0502135-023
LUCAS MLOKOZI ROMWADI
KASHANGATI

7

3

3

0

6

19

BUKOBA DC

1














 
Jedwali  33: WANAFUNZI KUMI DUNI KIMKOA - WASICHANA




NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MTAHINIWA

SHULE ATOKAYO

KISW

ENGL

MA'FA

HISB

SAY

JML

HALMASHAURI

JINSI



1

PS0507061-048
REMINATA ROBERT ABART
MURONGO

0

1

0

0

4

5

KYERWA

2



2

PS0505064-085
MELINA ALINDA WINCHSLAUS
KIBARE

4

0

0

3

2

9

MULEBA

2



3

PS0508017-024
ASIA NAMALA SIRAJI
BYEJU

3

1

4

1

1

10

MISSENYI

2



4

PS0506024-071
NEEMA SEVERIAN JUSTINE
MBUBA

2

2

6

2

3

15

NGARA

2



5

PS0506060-056
JANETH RABAN KANYEGONGO
NZAZA

4

3

2

5

2

16

NGARA

2



6

PS0502098-030
ADIVENTINA AJUNA PONSIAN
OMUKARAMA

2

2

5

3

5

17

BUKOBA DC

2



7

PS0505001-033
NISELA REVOCATUS COSMA
BIGAGA

3

4

4

6

1

18

MULEBA

2



8

PS0508048-042
DATIVA KOKUHABWA ZENO
KIBEO

6

2

1

6

3

18

MISSENYI

2



9

PS0505173-042
ELINES KOKUSHUBIRA COLONERY
KITUNTU

7

2

4

2

4

19

MULEBA

2



10

PS0506076-036
MERINAS MILENZO ELISHA
KIGINA

1

5

2

9

2

19

NGARA

2

















 

 

 

 

 

 

 

Jedwali  34: ORODHA YA WANAFUNZI 10 DUNI KIMKOA

 

NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MTAHINIWA

SHULE ATOKAYO

KISW

ENGL

MA'FA

HISB

 SAY

JML

HALMASHAURI

JINSI

1

PS0507061-048

REMINATA ROBERT ABART

MURONGO

0

1

0

0

4

5

KYERWA

2

2

PS0506072-007

MUSA MODHESI PHILIMON

IBUGA

0

4

0

1

4

9

NGARA

1

3

PS0505064-085

MELINA ALINDA WINCHSLAUS

KIBARE

4

0

0

3

2

9

MULEBA

2

4

PS0508017-024

ASIA NAMALA SIRAJI

BYEJU

3

1

4
1
1
10
MISSENYI

2

5

PS0505087-006

ARUSTADI BASHIRU MWAMUDU

MAYONDWE

2

0

8

0

3

13

MULEBA

1

6

PS0505125-001

ALISTIDES KANINGO EMILIAN

RWIGEMBE

2

3

5

0

3

13

MULEBA

1

7

PS0505098-007

ANESIUS RWEGASIRA WILLBROAD

NSHAMBYA

0

4

3

1

7

15

MULEBA

1

8

PS0502098-016

ISMAIL KAIJAGE MUHAMUDU

OMUKARAMA

5

1

5

0

4

15

BUKOBA DC

1

9

PS0506024-071

NEEMA SEVERIAN JUSTINE

MBUBA

2

2

6

2

3

15

NGARA

2

10

PS0506060-056

JANETH RABAN KANYEGONGO

NZAZA

4

3

2

5

2

16

NGARA

2


 

2.4     NAFASI ZA KUTWA MWAKA 2019

Mkoa wa Kagera kwa sasa una jumla ya shule 186 za kutwa.  Idadi ya wanafunzi ambao wamechaguliwa kwenda kwenye shule za kutwa ni 25,499.  Kati ya hao wavulana ni 12,356 na wasichana ni 13,143 sawa na 64.5%. Waliofaulu  wakakosa nafasi ni wanafunzi 14,046 kati yao wavulana 6,197 na wasichana 7,849 sawa  35.5% ambao wanasubiri madarasa yatakapokamilika watachaguliwa chaguo la pili.

Jedwali  35: IDADI YA WANAFUNZI WA SHULE ZA KUTWA WALIOFAULU NA 

                    WALIOCHAGULIWA 2019

NA.

HALMASHAURI

IDADI YA SHULE

WALIOFAULU

WALIOCHAGULIWA

WAV

WAS

JML

WAV

WAS

JML

1

BIHARAMULO

18

1,789

1,997

3,786

818

806

1624

3

BUKOBA (V)

29

2,612

2,996

5,608

2225

2505

4730

2

BUKOBA (M)

16

1,326

1,378

2,704

710

710

1420

4

KARAGWE

19

2,457

2,777

5,234

1046

1083

2129

5

KYERWA

21

2,213

2,448

4,701

1359

1446

2805

6

MISSENYI

22

1,619

1,798

3,417

1369

1460

2829

7

MULEBA

39

4,439

5,196

9,635

2739

2894

5633

8

NGARA

22

2,098

2,362

4,460

1996

2190

4186

 

 
JUMLA

 

186

 

18,553

 

20,992

 

39,545

  12,262 
   13,094 
  25,356 
Jedwali  36: ALAMA ZA UFAULU KWA KILA HALMASHAURI

HALMASHAURI

WAV/250

WAS/250

BIHARAMULO

235

240

BUKOBA DC

241

237

BUKOBA MC

238

239

KARAGWE

237

239

KYERWA

238

234

MISSENYI

241

239

MULEBA

243

240

NGARA

232

236


3.0  MCHANGANUO WA KIMAHESABU WA UCHAGUZI WA WANAFUNZI KWENDA

SHULE  ZENYE UFAULU MZURI  UFUNDI NA BWENI KAWAIDA

 

 

 

3.1     NAFASI ZA WASICHANA

IDADI YA WASICHANA KATIKA HALMASHAURI HUSIKA  X IDADI YA NAFASI

IDADI YA WATAHINIWA  WASICHANA KATIKA  MKOA HUSIKA

3.2      NAFASI ZA WAVULANA

IDADI YA WAVULANA KATIKA HALMASHAURI HUSIKA  X  IDADI YA NAFASI

IDADI YA WATAHINIWA  WAVULANA  KATIKA  MKOA HUSIKA

 

 

 

Jedwali  36:  MGAWANYO WA NAFASI ZA UFAULU MZURI ZAIDI ,UFUNDI NA BWENI KAWAIDA

 


H/W

IDADI YA WANAFUNZI

SHULE ZA UFUNDI

SHULE ZA VIPAJI MAALUM

BWENI KAWAIDA

NA

WAV

WAS

JML

MOSHI UFUNDI

BWIRU UFUNDI

MZUMBE

TABORA

MSALATO

TABORA

KIGOMA GRAND

MOSHI SS

SHINYANGA SS

RUGAMBWA

TUMAINI

KAZIMA SS

WV

WS

JML

WV

WS

JML

WV

WV

WS

WS

WV

WS

JML

WV

WS

JML

WV

WS

JML

WAS

WV

WS

JML

WV

WS

JML

WV

WS

JML

1

Biharamulo
1,789

1,997

3,786

1

0

1

3

0

3

1

1

0

2

1

0

1

1

0

1

1

0

1

1

0

0

0

0

1

1

9

4

13

2

Bukoba DC
2,612

2,996

5,608

2

1

3

4

0

4

1

2

1

2

1

1

2

1

0

1

1

0

1

2

0

1

1

0

1

1

13

9

22

3

Bukoba MC
1,326

1,378

2,704

1

0

1

2

0

2

1

1

0

1

1

0

1

1

0

1

1

0

1

1

0

0

0

0

0

0

7

2

9

4

Karagwe
2,457

2,777

5,234

2

1

3

4

0

4

1

2

1

2

1

1

2

1

0

1

1

0

1

2

0

1

1

0

1

1

12

8

21

5

Kyerwa
2,213

2,488

4,701

2

1

3

4

0

4

1

2

1

2

1

0

1

1

0

1

1

0

1

1

0

0

0

0

1

1

11

6

17

6

Missenyi
1,619

1,798

3,417

1

0

1

3

0

3

1

1

0

1

1

0

1

1

0

1

1

0

1

1

0

0

0

0

0

0

8

3

11

7

Muleba
4,439

5,196

9,635

4

1

5

7

0

7

2

3

1

4

2

1

3

2

0

2

2

0

2

3

0

1

1

0

0

0

23

11

34

8

Ngara
2,098

2,362

4,460

2

1

3

4

0

4

1

2

1

2

1

0

1

1

0

1

1

0

1

1

0

0

0

0

1

1

11

6

17

JUMLA

18,553

20,992

39,545

15

5

20

31

0

31

10

14

5

16

9

3

12

8

0

8

7

0

7

12

0

3

3

0

5

5

94

49

143

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 


 

MAJINA YA WANAFUNZI WANAOKWENDA KATIKA SHULE ZA    

 VIPAJI  MAALUMU, UFUNDI NA BWENI KAWAIDA WAVULANA NA WASICHANA

 

1. HALMASHAURI YA WILAYA YA BIHARAMULO 

 1.1. WAVULANA

SHULE ZA SEKONDARI ZENYE UFAULU MZURI ZAIDI VIPAJI MAALUM  (WAV)







NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MTAHINIWA

JINSI

SHULE     ATOKAYO

ALAMA

SHULE AENDAYO

1

PS0501076-014
JOSHUA EMMANUEL RUKANGA
MV
ST. SEVERINE

235

MZUMBE SEKONDARI

2

PS0501076-011
GODLOVE LIBENT PASCHAL
MV
ST. SEVERINE

235

TABORA WAVULANA








SHULE ZA SEKONDARI ZA UFUNDI 







NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MTAHINIWA

JINSI

SHULE     ATOKAYO

ALAMA

SHULE AENDAYO

1

PS0501064-003
GRATION FAUSTINE MAGUMBA
MV
NYANSHIMBA

235

MUSOMA UFUNDI

2

PS0501076-029
WILFRED WILBARD WILLIAM
MV
ST. SEVERINE

235

BWIRU UFUNDI

3

PS0501076-028
WILFRED CHRISTOPHER XAVERY
MV
ST. SEVERINE

235

BWIRU UFUNDI

4

PS0501076-012
JAMES GEOFREY JEREMIAH
MV
ST. SEVERINE

234

BWIRU UFUNDI







 

 

SHULE ZA SEKONDARI ZA BWENI KAWAIDA 








NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MTAHINIWA

JINSI

SHULE     ATOKAYO

ALAMA

SHULE AENDAYO

1

PS0501076-001
AGAPIUS THOMAIDEUS VICTOR
MV
ST. SEVERINE

234

KIGOMA GRAND

2

PS0501088-005
MANASE PAUL ZACHARIA
MV
VICTORY

234

MOSHI SEKONDARI

3

PS0501076-013
JOSEPH SWEETHBERT TWEYUNGE
MV
ST. SEVERINE

234

SHINYANGA SEKONDARI

 

 

           
 
 
 
 
 
 
 
HALMASHAURI YA WILAYA YA BIHARAMULO
1.2.  WASICHANA
SHULE ZA SEKONDARI ZENYE UFAULU MZURI ZAIDI







NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MTAHINIWA

JINSI

SHULE     ATOKAYO

ALAMA

SHULE AENDAYO

1

PS0501076-036
BEATRICE FRANK LEONARD

MS

ST. SEVERINE

240

TABORA WASICHANA

2

PS0501076-046
HELLENA BENJAMIN KUNDY

MS

ST. SEVERINE

237

TABORA WASICHANA








 
SHULE YA SEKONDARI YA BWENI KAWAIDA 

NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MTAHINIWA

JINSI

SHULE     ATOKAYO

ALAMA

SHULE AENDAYO

1

PS0501076-031
AGATHA ANTHONY ASIMWE

MS

ST. SEVERINE

236

RUGAMBWA SEKONDARI






















 

HALMASHAURI YA WILAYA YA BUKOBA 

2.1. WAVULANA

 

SHULE  ZA SEKONDARI  ZENYE UFAULU MZURI ZAIDI

NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MTAHINIWA

JINSI

SHULE     ATOKAYO

ALAMA

SHULE AENDAYO

1

PS0502139-021
DENIS YESIGE AUDAX

MV

RWEIKIZA

241

MZUMBE

2

PS0502139-025
EMMANUEL MUSHOBOZI BUBERWA

MV

RWEIKIZA

238

TABORA WAVULANA

3

PS0502139-016
DAMACEN DOMICIAN DANIEL

MV

RWEIKIZA

237

TABORA WAVULANA
 

 

SHULE ZA SEKONDARI ZA UFUNDI

S/N

NAMBA YA MTAHINIWA 

JINA LA MWANAFUNZI 

JINSI

SHULE ATOKAKO

ALAMA

SHULE       AENDAKO 

4

PS0502139-057
ROMEO KWEYAMBA MWESIGWA

MV

RWEIKIZA

237

MUSOMA UFUNDI

5

PS0502139-013
BARAKA DENIS MUGISHA

MV

RWEIKIZA

237

MUSOMA UFUNDI

6

PS0502139-009
ANORD MUGISHA NGIRWA

MV

RWEIKIZA

237

BWIRU UFUNDI

7

PS0502139-031
GEDBERTH MJUNI GILBERTH

MV

RWEIKIZA

236

BWIRU UFUNDI

8

PS0502139-046
MANSURI SWAIBU MUSSA

MV

RWEIKIZA

236

BWIRU UFUNDI

9

PS0502139-042
KELVIN ERASTON KAMUGUMYA

MV

RWEIKIZA

235

BWIRU UFUNDI

 

 

 

SHULE ZA SEKONDARI BWENI KAWAIDA

S/N

NAMBA YA MTAHINIWA 

JINA LA MWANAFUNZI 

JINSI

SHULE ATOKAKO

ALAMA

SHULE       AENDAKO 

10

PS0502139-018
DATIUS KATTO DENIS

MV

RWEIKIZA

235

KIGOMA  GRAND

11

PS0502139-036
JOCTAN PETRUS LEOPOLD

MV

RWEIKIZA

235

MOSHI

12

PS0502139-047
MBELWA JUNIOR KAMALEKI

MV

RWEIKIZA

235

SHINYANGA
 
       
HALMASHAURI YA WILAYA YA BUKOBA
2.2. WASICHANA
SHULE ZENYE UFAULU MZURI ZAIDI 







S/N

NAMBA YA MTAHINIWA 

JINA LA MWANAFUNZI 

JINSI

SHULE ATOKAKO

ALAMA

SHULE       AENDAKO 

1

PS0502139-084
ENNATA KANKIZA SIGSIBERT

MS

RWEIKIZA

237

MSALATO

2

PS0502139-112
RACHEL JOAS RWEIKIZA

MS

RWEIKIZA

235

TABORA WASICHANA

3

PS0502139-106
MAGRETH SINDUKA MARWA

MS

RWEIKIZA

235

TABORA WASICHANA

 

SHULE YA SEKONDARI YA UFUNDI

1

PS0502139-109
MOUREEN ATULINDA KENEDY

MS

RWEIKIZA

235

MOSHI UFUNDI
 

 

SHULE ZA SEKONDARI ZA BWENI KAWAIDA

S/N

NAMBA YA MTAHINIWA 

JINA LA MWANAFUNZI 

JINSI

SHULE ATOKAKO

ALAMA

SHULE       AENDAKO 

5

PS0502139-091
GROLIA GODSON RUGONZIBWA

MS

RWEIKIZA

234

KIGOMA  GRAND

6

PS0502139-102
JOYCE ASHUBIZA BINUNSHU

MS

RWEIKIZA

234

RUGAMBWA

7

PS0502139-094
HYASINTA SUBIRA BRYSON

MS

RWEIKIZA

234

RUGAMBWA

8

PS0502139-110
ODETHA KAUMBYA OSCAR

MS

RWEIKIZA

234

TUMAINI

9

PS0502139-120
WIVINA ATWEMERA DEODATUS

MS

RWEIKIZA

234

KAZIMA

 

 BUKOBA MANISPAA  

 WAVULANA

 

SHULE ZENYE UFAULU MZURI ZAIDI
S/NA
NAMBA YA MTIHANI
JINA LA MTAHINIWA

JINSI

SHULE ATOKAYO
ALAMA
SHULE AENDAYO

1

PS0503033-012
ELIMELECH JULIUS TIBUHINDA
MV
KARUME

238

MZUMBE SEKONDARI

2

PS0503031-008
DELIS RUTA JAMES
MV
BUHEMBE

237

TABORA WAVULANA
 

 

SHULE ZA SEKONDARI ZA UFUNDI
S/NA
NAMBA YA MTIHANI
JINA LA MTAHINIWA
JINSI
SHULE ATOKAYO
ALAMA
SHULE AENDAYO
1
PS0503033-031
REINER RAPHAEL KISABABA
MV
KARUME

235

MUSOMA UFUNDI
2
PS0503031-014
INNOCENT MTALEMWA JOVINARY
MV
BUHEMBE

235

BWIRU UFUNDI
3
PS0503033-027
OSCAR MAKINGIRI MAXMILIAN
MV
KARUME

234

BWIRU UFUNDI
SHULE YA SEKONDARI YA BWENI KAWAIDA

S/NA
NAMBA YA MTIHANI
JINA LA MTAHINIWA

JINSI

SHULE ATOKAYO
ALAMA
SHULE 
AENDAYO

1

PS0503047-014
JORDAN JONES JAMES

MV

KEMEBOS

234

KIGOMA GRAND

 MANISPAA YA BUKOBA
  • WASICHANA
SHULE YA UFAULU MZURI ZAIDI

S/NA
NAMBA YA MTIHANI
JINA LA MTAHINIWA

JINSI

SHULE ATOKAYO
ALAMA
SHULE AENDAYO

1

PS0503033-056
LUCIA MKAMI CHARLES

MS

KARUME

239

TABORA WASICHANA










 

SHULE YA SEKONDARI YA BWENI KAWAIDA

NA

NAMBA YA MTAHINIWA
JINA LA MTAHINIWA

JINSI

SHULE ATOKAYO

ALAMA

SHULE AENDAYO

1

PS0503047-026
ELIZABETH NYABISI MALIYATABU

MS

KEMEBOS

237

MZUMBE S.S

 

 

HALMASHAURI YA WILAYA YA KARAGWE

  • WAVULANA
SHULE ZENYE UFAULU MZURI ZAIDI

NA

NAMBA YA MTAHINIWA
JINA LA MTAHINIWA

JINSI

SHULE ATOKAYO

ALAMA

SHULE AENDAYO

1

PS0504112-018
PRINCE JEVERYSON KAGUNA

MV

ST PETER CLAVER

237

MZUMBE S.S

2

PS0504112-009
ERICK MARIUS JERONIMO

MV

ST PETER CLAVER

237

TABORA WAVULANA

3

PS0504112-026
YOACHIM MKINA JOSEPH

MV

ST PETER CLAVER

235

TABORA WAVULANA
 

 

 

 

 

 

SHULE ZA SEKONDARI ZA UFUNDI

NA

NAMBA YA MTAHINIWA
JINA LA MTAHINIWA

JINSI

SHULE ATOKAYO

ALAMA

SHULE AENDAYO

1

PS0504112-003
AVITUS VALENCE BUJUNE

MV

ST PETER CLAVER

234

MUSOMA UFUNDI

2

PS0504008-019
SABINIANI BARAKA LUMUMBA

MV

BOHARI

234

MUSOMA UFUNDI

3

PS0504008-005
BORICE MTAKAKWA KANATI

MV

BOHARI

233

BWIRU UFUNDI

4

PS0504112-013
JOHANES FERDINAND NGUSSA

MV

ST PETER CLAVER

233

BWIRU UFUNDI

5

PS0504008-020
SALUMU NASSORO SULEIMANI

MV

BOHARI

233

BWIRU UFUNDI

6

PS0504112-008
DEVIS DEOGRATIAS LAUREAN

MV

ST PETER CLAVER

233

BWIRU UFUNDI







SHULE ZA SEKONDARI ZA BWENI KAWAIDA


NA

NAMBA YA MTAHINIWA
JINA LA MTAHINIWA

JINSI

SHULE ATOKAYO

ALAMA

SHULE AENDAYO

1

PS0504113-016
ISACK MWOMBEKI SUDI

MV

TEGEMEO

233

KIGOMA GRAND

2

PS0504112-007
DELSON NELSON TINABO

MV

ST PETER CLAVER

232

MOSHI S.S

3

PS0504112-016
OLAPH FORTUNATUS JOSEPH

MV

ST PETER CLAVER

232

SHINYANGA S.S







  •    WASICHANA
SHULE ZENYE UFAULU MZURI ZAIDI

NA

NAMBA YA MTAHINIWA
JINA LA MTAHINIWA

JINSI

SHULE ATOKAYO

ALAMA

SHULE AENDAYO

1

PS0504112-033
DOREEN GODWINE BANA

MS

ST PETER CLAVER

239

MSALATO S.S

2

PS0504008-042
SHAKIRA SHAKIRU MSWADIKO

MS

BOHARI

238

TABORA WASICHANA

3

PS0504008-038
PATRICIA VIVIAN EMANUELI

MS

BOHARI

238

TABORA WASICHANA
 

 

SHULE YA SEKONDARI YA UFUNDI

NA

NAMBA YA MTAHINIWA
JINA LA MTAHINIWA

JINSI

SHULE ATOKAYO

ALAMA

SHULE AENDAYO

1

PS0504008-033
MARIALINA AJUNA EMANUELI

MS

BOHARI

236

MOSHI UFUNDI

 

 

 

 

 

 

 

SHULE ZA SEKONDARI ZA BWENI KAWAIDA

NA

NAMBA YA MTAHINIWA
JINA LA MTAHINIWA

JINSI

SHULE ATOKAYO

ALAMA

SHULE AENDAYO

1

PS0504008-026
EVENESS ATUGONZA BURUNO

MS

BOHARI

235

KIGOMA GRAND

2

PS0504112-037
FELICIANA LAUSON NESTORY

MS

ST PETER CLAVER

234

RUGAMBWA S.S

3

PS0504112-039
ISABELLA ANGELO BANOBI

MS

ST PETER CLAVER

234

TUMAINI S.S

4

PS0504112-040
JOSEPHINE STEPHEN MASSE

MS

ST PETER CLAVER

234

KAZIMA S.S









 

 

HALMASHAURI YA WILAYA YA KYERWA

WAVULANA

SHULE ZA SEKONDARI ZENYE UFAULU MZURI ZAIDI

 


NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MWANAFUNZI

 

SHULE ATOKAYO

ALAMA

SHULE AENDAYO

JINSI


1

PS0507011-003
ALISEN HUMPHREY RUTEGEILEHA

MV

IMANI

238

MZUMBE SEKONDARI

2

PS0507100-011
ELIUS GIDIUS ZALIUS

MV

MAWINGU

237

TABORA WAVULANA

3

PS0507100-009
ELBERT VUMILIA MAKALIUS

MV

MAWINGU

236

TABORA WAVULANA









 
SHULE ZA SEKONDARI ZA UFUNDI

NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MWANAFUNZI

JINSI

SHULE ATOKAYO

ALAMA

SHULE 
AENDAYO

1

PS0507100-007
DEVICE DESDERY ANTONY
MV
MAWINGU

236

MUSOMA UFUNDI

2

PS0507100-010
ELIMINIUS MUSSA JEREMIAH
MV
MAWINGU

235

MUSOMA UFUNDI

1

PS0507011-004
AUDI GIDION ABEL
MV
IMANI

234

BWIRU UFUNDI

2

PS0507100-006
DAVIS VEDASTO MALECHERA
MV
MAWINGU

234

BWIRU UFUNDI

3

PS0507100-012
GRINUS RENATUS ADRIAN
MV
MAWINGU

234

BWIRU UFUNDI

4

PS0507100-005
ANTIUS GASPARY SEMWA
MV
MAWINGU

231

BWIRU UFUNDI

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

SHULE ZA BWENI  KAWAIDA


NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MWANAFUNZI

JINSI

SHULE ATOKAYO

ALAMA

SHULE 
AENDAYO

1

PS0507100-008
ELBERT ALBINUS DIDACE
MV
MAWINGU

230

KIGOMA GRAND

2

PS0507104-011
ERICK FELIX AUGUSTINE
MV
TUMUSHUBIRE

230

MOSHI S.S

3

PS0507037-006
DALMATUS DIOCLES PEREUS
MV
KIGOROGORO

230

SHINYANGA S.S



 


 


  • WASICHANA
SHULE YENYE UFAULU MZURI ZAIDI
 

NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MWANAFUNZI

JINSI

SHULE ATOKAYO

ALAMA

SHULE AENDAYO


1
PS0507100-020
ALLEN GEOFREY BUGINGO
MS
MAWINGU
234
MSALATO  S.S

2
PS0507100-022
LILIAN JACKSON BONIPHACE
MS
MAWINGU
232
TABORA WASICHANA

3
PS0507100-015
APEWE NASSON MUGISHA
MS
MAWINGU
230
TABORA WASICHANA




















SHULE YA SEKONDARI UFUNDI
 

NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MWANAFUNZI

JINSI

SHULE ATOKAYO

ALAMA

SHULE AENDAYO


1
PS0507100-026
ROYCE ESAUS MTAGWABA
MS
MAWINGU
229
MOSHI UFUNDI

SHULE ZA SEKONDARI BWENI KAWAIDA

 


NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MWANAFUNZI

JINSI

SHULE ATOKAYO

ALAMA

SHULE AENDAYO

1
PS0507100-023
LORIEN EDWARD MPAKA
MS
MAWINGU
229
RUGAMBWA S.S
2
PS0507100-025
ROSA ALTO WILLIAM
MS
MAWINGU
228
KAZIMA  S.S








HALMASHAURI YA WILAYA YA MISSENYI

WAVULANA

SHULE ZA SEKONDARI ZENYE UFAULU MZURI ZAIDI

NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MWANAFUNZI

JINSI

SHULE ATOKAYO

ALAMA

SHULE AENDAYO

1

PS0508024-011
BETSON MUGISHA MUCHUNGUZI

MV

JKIBIRA

241

MZUMBE

2

PS0508024-005
ERICK BENJAMINI THEONEST

MV

JKIBIRA

238

TABORA

 

SHULE ZA SEKONDARI ZA UFUNDI

NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MWANAFUNZI

JINSI

SHULE ATOKAYO

ALAMA

SHULE AENDAYO

1

PS0508024-017
EVELIUS RUMANYIKA FELISIAN

MV

JKIBIRA

238

MUSOMA UFUNDI

2

PS0508024-018
ALFREDY GRATION KATABALO

MV

JKIBIRA

238

BWIRU UFUNDI

3

PS0508024-010
BENETIUS MWESIGE BEATUS

MV

JKIBIRA

237

BWIRU UFUNDI

4

PS0508024-003
ADILI MUSHOBOZI NEKEMIA

MV

JKIBIRA

236

BWIRU UFUNDI

 

 

SHULE ZA SEKONDARI ZA BWENI KAWAIDA

NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MWANAFUNZI

JINSI

SHULE ATOKAYO

ALAMA

SHULE AENDAYO

1

PS0508024-004
ALEX MUCHUNGUZI RWEYEMAMU

MV

JKIBIRA

236

KIGOMA GRAND

2

PS0508024-002
ANORD ASIIMWE KAGWA

MV

JKIBIRA

235

MOSHI SEKINDARI

 

 

  • WASICHANA

SHULE YENYE UFAULU MZURI ZAIDI

 

NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MWANAFUNZI

JINSI

SHULE ATOKAYO

ALAMA

SHULE AENDAYO

1
PS0508024-059
LEWINA AGASHA FAUSTINE

MS

JKIBIRA

239

TABORA WASICHANA

 

 

SHULE YA SEKONDARI YA BWENI KAWAIDA

NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MWANAFUNZI

JINSI

SHULE ATOKAYO

ALAMA

SHULE AENDAYO

1
PS0508024-038
CAROLINE FANUEL MARIKI

MS

JKIBIRA

237

RUGAMBWA

 

 

HALMASHAURI YA WILAYA YA MULEBA

WAVULANA

SHULE ZENYE UFAULU MZURI ZAIDI

 

NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MWANAFUNZI

JINSI

SHULE ATOKAYO

ALAMA

SHULE AENDAYO

1

PS0505183-009
DIOMEDES JAMES MBOGO

MV

ST. ACHILEUS

243

MZUMBE S.S

2

PS0505183-011
EDSON FAUSTINE MTALEMWA

MV

ST. ACHILEUS

241

MZUMBE S.S

3

PS0505183-004
CRISPIN MULOKOZI KAMUGISHA

MV

ST. ACHILEUS

240

MZUMBE S.S

4

PS0505183-029
PEMAKUS MSIZA HANING

MV

ST. ACHILEUS

240

TABORA WAVULANA.

5

PS0505183-034
RICHARD JACKSON RICHARD

MV

ST. ACHILEUS

239

TABORA WAVULANA.

6

PS0505183-033
REVOCATUS MUGANYIZI PROJESTUS

MV

ST. ACHILEUS

239

TABORA WAVULANA.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

SHULE ZA SEKONDARI ZA UFUNDI

 

NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MWANAFUNZI

JINSI

SHULE ATOKAYO

ALAMA

SHULE AENDAYO

1

PS0505183-014
EVATH MKIZA ELISHA

MV

ST. ACHILEUS

239

MUSOMA UFUNDI

2

PS0505183-041
WIRO KAMUGISHA RUTECHURA.

MV

ST. ACHILEUS

239

MUSOMA UFUNDI

3

PS0505183-032
RAYMOND MTEGEKI ELIAKIM

MV

ST. ACHILEUS

238

MUSOMA UFUNDI

4

PS0505183-039
WILBROAD EDWIN MICHAEL

MV

ST. ACHILEUS

238

MUSOMA UFUNDI

5

PS0505183-006
DAWSON RUGEMARILA KAJUNA

MV

ST. ACHILEUS

237

BWIRU UFUNDI

6

PS0505183-002
AMON ALCARDI RUBEN

MV

ST. ACHILEUS

237

BWIRU UFUNDI

7

PS0505183-005
DARISON JOHANSEN TIBAINGANA

MV

ST. ACHILEUS

236

BWIRU UFUNDI

8

PS0505183-007
DESDERIUS MUTA BEBWA

MV

ST. ACHILEUS

236

BWIRU UFUNDI

9

PS0505183-019
HAMDAN HILAL KAIJAGE

MV

ST. ACHILEUS

236

BWIRU UFUNDI

10

PS0505183-024
JULIANUS MJUNI JULIUS

MV

ST. ACHILEUS

236

BWIRU UFUNDI

11

PS0505183-008
DEUSDEDIT MUTA BEBWA

MV

ST. ACHILEUS

236

BWIRU UFUNDI

 

 

SHULE ZA SEKONDARI ZA BWENI KAWAIDA

 

NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MWANAFUNZI

JINSI

SHULE ATOKAYO

ALAMA

SHULE AENDAYO

1

PS0505183-027
MUSSA PHILEMON KABICY

MV

ST. ACHILEUS

235

KIGOMA GRAND S.S.

2

PS0505183-022
JOANES KATUNZI JOHN

MV

ST. ACHILEUS

235

KIGOMA GRAND S.S.

3

PS0505183-030
PRONIUS PROJESTUS RUTINWA

MV

ST. ACHILEUS

235

MOSHI S.S.

4

PS0505183-003
CELESTINE NGAMBEKI DICKSON

MV

ST. ACHILEUS

235

MOSHI S.S.

5

PS0505183-035
ROBIN MWIJAGE NESTORY

MV

ST. ACHILEUS

235

SHINYANGA S.S.

6

PS0505183-037
SICARIUS RWIZA SIMON

MV

ST. ACHILEUS

234

SHINYANGA S.S.

 

  • WASICHANA

SHULE ZENYE UFAULU MZURI ZAIDI

 

NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MWANAFUNZI

JINSI

SHULE ATOKAYO

ALAMA

SHULE AENDAYO

1

PS0505183-042
ALDINA DONATIAN LUFURANO

MS

ST. ACHILEUS

240

MSALATO S.S

2

PS0505183-066
MELINAS MAPINDUZI HOLOGO

MS

ST. ACHILEUS

238

TABORA WASICHANA

3

PS0505183-047
ATILA SHUBIRA EGIDIUS

MS

ST. ACHILEUS

238

TABORA WASICHANA

4

PS0505183-046
ASTERIA KOKUTETA ALSTIDES

MS

ST. ACHILEUS

235

TABORA WASICHANA

5

PS0505183-061
HILDA HILDEPHONCE RUKWELELE

MS

ST. ACHILEUS

235

TABORA WASICHANA

 

SHULE YA SEKONDARI YA UFUNDI

 

NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MWANAFUNZI

JINSI

SHULE ATOKAYO

ALAMA

SHULE AENDAYO

1

PS0505183-056
DULA MKABLANDES NGAIZA

MS

ST. ACHILEUS

234

MOSHI UFUNDI

SHULE ZA SEKONDARI ZA BWENI KAWAIDA

NA.

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MWANAFUNZI

JINSI

SHULE ATOKAYO

ALAMA

SHULE ALIYOPANGWA

1

PS0505183-070
PRIMITIVA PROJECTUS NTAKILOWA

MS

ST. ACHILEUS

234

KIGOMA GRAND S.S.

1

PS0505183-060
GROLIA JOVIN JOHN

MS

ST. ACHILEUS

234

RUGAMBWA S.S.

2

PS0505183-049
BEATRICE ALINDA KATANGA

MS

ST. ACHILEUS

233

RUGAMBWA S.S.

3

PS0505183-058
ELIZABETH MKALULIGWA AUDAX

MS

ST. ACHILEUS

230

RUGAMBWA S.S.

4

PS0505183-073
SCHOLASTICA MASELE CORNEL

MS

ST. ACHILEUS

230

RUGAMBWA S.S.

1

PS0505183-076
VALENTINA NYANGOMA MUKYANUZI

MS

ST. ACHILEUS

230

TUMAINI S.S

1

PS0505183-043
ANGELINA ROLAND JOHN

MS

ST. ACHILEUS

229

KAZIMA S.S

 

 

HALMASHAURI YA WILAYA YA NGARA

WAVULANA

 

SHULE ZA SEKONDARI ZA UFAULU MZURI ZAIDI 

NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MTAHINIWA

JINSI

SHULE ATOKAYO

SHULE AENDAYO

01

PS0506107-008

REAGAN RENATUS RWAZO

MV

NAPS ENG. MEDIUM
MZUMBE

02

PS0506107-002

ANTHONY SYPRIAN MUHERANYI

MV

NAPS ENG. MEDIUM
TABORA WAVULANA

03

PS0506093-006

KATUNZI BARAKA KATUNZI

MV

RHEC
TABORA WAVULANA

 

 

SHULE ZA SEKONDARI ZA UFUNDI
NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MTAHINIWA

JINSI

SHULE ATOKAYO

SHULE AENDAYO

01

PS0506093-007

LUQMAN ATHUMAN ABUBAKAR

MV

RHEC
MUSOMA UFUNDI

02

PS0506110-009

YUSUPH JIVITIUS SABATHO

MV

RUHUBA
MUSOMA UFUNDI

03

PS0506107-007

OMARY ASIMWE SWAIBU

MV

NAPS ENG. MEDIUM
BWIRU UFUNDI

04

PS0506014-010

SHADRACK KITITERULA VENANCE

MV

KEZA
BWIRU UFUNDI

05

PS0506014-011

STAPHOD EMMANUEL FELESIAN

MV

KEZA
BWIRU UFUNDI

06

PS0506037-002

DONATUS NTIBATIGESO CHARLES

MV

MUMIRAMIRA
BWIRU UFUNDI






 
SHULE ZA SEKONDARI  ZA BWENI KAWAIDA   

NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MTAHINIWA

JINSI

SHULE ATOKAYO

SHULE AENDAYO

01

PS0506118-004

JAVAN EMMANUEL LIVING

MV

RUSUMO NEW VISION
SHINYANGA SEKONDARI

02

PS0506107-001

ABRAHAM MBOGO RUBAVU

MV

NAPS ENG. MEDIUM
KIGOMA GRAND

03

PS0506107-005

HERNIRIC PASCIENCE NDOPWELI

MV

NAPS ENG. MEDIUM
MOSHI SEKONDARI

 

 

  • WASICHANA
SHULE ZA SEKONDARI ZA UFAULU MZURI 






NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MTAHINIWA

JINSI

SHULE ATOKAYO

SHULE AENDAYO

01

PS0506107-021

WITNESS BYERA GORDIAN

MS

NAPS ENG. MEDIUM
TABORA WASICHANA

02

PS0506107-019

NIKOLA BENETH HERMAN

MS

NAPS ENG. MEDIUM
TABORA  WASICHANA

03

PS0506107-020

STELLA GEORGE SING'OMBE

MS

NAPS ENG. MEDIUM
MSALATO






 
SHULE YA SEKONDARI YA UFUNDI  






NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MTAHINIWA

JINSI

SHULE ATOKAYO

SHULE AENDAYO

01

PS0506107-014

GILLIAN JOSHUA PATROBA

MS

NAPS ENG. MEDIUM
MOSHI  UFUNDI
SHULE ZA BWENI KAWAIDA 
NA

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MTAHINIWA

JINSI

SHULE ATOKAYO

SHULE AENDAYO

01

PS0506107-017

JUSTA HENRICK RUKESHA

MS

NAPS ENG. MEDIUM
KAZIMA

02

PS0506037-021

VIOLETHA GRODIAN GODFREY

MS

MUMIRAMIRA
RUGAMBWA

























 

 

CHANGAMOTO ZA KUTOFIKIA UFAULU TULIYOJIWEKEA

 

  • Upungufu wa miundombinu unaopelekea mlundikano wa wanafunzi darasani na wengine kukosa nafasi ilihali wamefaulu
  • Ufuatiliaji usiokuawa na lengo kwani tumebaini watumishi wa elimu katika Halmashsuri wamefanya ufuatiliaji kwenye shule zao lakini hakuna hadidu za rejea za ufuatiliaji wanazokuwa nazo zaidi ya kufanya ziara.
  • Usimamizi wa Elimu katika ngazi ya shule na kata kutokutekelezwa ipasavyo, hali inayopelekea walimu kutotekeleza majukumu yao kikamilifu ikiwa ni pamoja na kutokuitekeleza   mikakati ya uboreshaji wa Elimu shuleni.
  • Kutokurudisha mrejesho wa Mipango inayopangwa katika vikao vya mikakati ya kuboresha Elimu katika ngazi za chini.
  • Utoro wa wanafunzi unaotokana na uhamaji holela wa wakulima na wafugaji kufuata malisho na ardhi yenye rutuba katika maeneo   mbalimbali ya wilaya na nje.   

5.0 MWISHO

Baada ya maelezo haya tunaomba kamati yako Mhe. Mwenyekiti ipitie na hatimaye iridhie mapendekezo haya ya uchaguzi wa wanafunzi wa kujiunga na kidato cha I, 2019.        

Naomba kuwasilisha.




Sera ya Elimu ya Mafunzo na Ufundi inaelekeza kuwa kila shule iwe na darasa la elimu ya awali kwa wanafunzi wenye umri kati ya miaka 5 hadi 6. Mkoa wa Kagera una jumla ya madarasa ya shule za Awali 941 katika shule za msingi za Serikali na za binafsi. Kati ya hizo, shule 890 ni za Serikali na 51 ni za binafsi.

Uandikishaji wa Elimu ya Awali: Watoto waliondikishwa elimu ya awali kwa shule za Msingi za Serikali mwaka 2017 ni 99,025. Wavulana wakiwa 50,021 na wasichana ni 49,004, na kwa upande wa shule binafsi elimu ya awali jumla ya wanafunzi 1,956 walioandikishwa, ikiwa wavulana ni 852 na wasichana mi 1,104 

Uandikishwaji Elimu ya Msingi: Uandikishaji wa wanafunzi Darasa la Kwanza kwa mwaka 2017, jumla ya wanafunzi 105,095 waliandikishwa kuanza darasa la kwanza, ambapo wavulana ni 52,992 na wasichana ni 52,103.

Shule za Msingi: Mkoa wa Kagera, una jumla ya Shule za msingi 941, kati ya hizo shule za Serikali ni 890 na shule za binafsi ni 51. Idadi ya wanafunzi katika shule za msingi ni 592,788, ambapo miongoni mwao wavulana ni 295762 na wasichana ni 297056 Idadi ya wanafunzi katika shule za binafsi 15,693 kati ya hao wavulana ni 8,060 na wasichana ni 7,633. Aidha, Mkoa una jumla ya shule Maalum 40 zenye wanafunzi walemavu 372 kati ya hao walemavu wa akili ni 102, wasioona 42, albino 55, walemavu wa viungo 48 na Viziwi/mabubu 125.

Ufaulu wa Mitihani ya Darasa la Saba: Kwa ujumla Mkoa wa Kagera ni miongoni mwa Mikoa iliyofanya vizuri katika matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika mwaka (2016), Mkoa ulishika nafasi ya 5 kati ya Mikoa 26 ya Tanzania Bara ikilinganishwa na nafasi ya 7 mwaka 2015 kati ya Mikoa 25 na nafasi ya 8 mwaka 2014 kati ya Mikoa 25. Katika mtihani huo, jumla ya wanafunzi 36,700 walifanya mtihani, ambapo wanafunzi 29,676 sawa na asilimia 80.86 wamefaulu mtihani huo.

Ufaulu wa Mtihani wa Darasa la Nne 2016, Mkoa wa Kagera ulifanya vizuri kwa kushika nafasi 1 kutoka nafasi ya 8 mwaka 2015. Jumla ya wanafunzi 48,907 walifanya mtihani na waliofaulu ni wanafunzi 48,334 sawa na Asilimia 98.83.

Idadi ya Walimu Shule za Msingi: Mkoa, una jumla ya walimu wa shule za msingi 9,673 kati ya mahitaji ya walimu 15,322 Hivyo, upungufu ni walimu 5,649. Jitihada za Serikali za kuajiri walimu zimepunguza kwa kiasi cha kuridhisha upungufu wa walimu kutoka  asilimia 58 mwaka 2010 hadi kufikia asilimia 81 mwaka 2016. Mwaka 2015/2016 Mkoa ulipangiwa walimu 2,446.

Uwepo wa Miundombinu na Samani Katika Shule za Msingi: Mkoa una jumla ya vyumba vya madarasa 6,357 kati ya 12,334 vinavyohitajika sawa na asilimia 51. Pia una jumla ya nyumba za walimu 1,647 kati ya nyumba 14,596 zinazohitajika sawa na asilimia 11.2. Aidha, Mkoa una madawati 193,224 kati ya madawani 200,439 yanayohitajika sawa asilimia 96.4


Matangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Wanakagera Wakumbushwa Kuendelea Kuilinda Amani ya Tanzania Ili Kufikia Miaka 100 ya Uhuru

    December 08, 2021
  • Wanakagera Wakumbushwa Kuendelea Kuilinda Amani ya Tanzania Ili Kufikia Miaka 100 ya Uhuru

    December 08, 2021
  • Wanakagera Wakumbushwa Kuendelea Kuilinda Amani ya Tanzania Ili Kufikia Miaka 100 ya Uhuru

    December 08, 2021
  • Wanakagera Wakumbushwa Kuendelea Kuilinda Amani ya Tanzania Ili Kufikia Miaka 100 ya Uhuru

    December 08, 2021
  • Tazama zote

Video

Kijue Chuo Kipya cha Kisasa cha Ufundi Stadi VETA Mkoani Kagera Kazi Inaendelea.....
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Vituo vya Redio Katika Mkoa wa Kagera
  • Wakuu wa Mkoa wa Kagera Tangu Uhuru Mwaka 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Tovuti Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Takwimu Huria

Wafuatiliaji Kimataifa

world map hits counter

Kaunta ya Wageni

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Anwani: S.L.P 299 BUKOBA

    Simu ya Mezani: 255 28 2220215/17

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu
    • Hakimiliki

Haki zote zimehifadhiwa